Jokate Mwegelo anastahili ubunge!

Jokate Mwegelo anastahili ubunge!

Katibu Mkuu wa UVCCM Mheshimiwa Dr Jokate Urban Mwegelo anastahili kutuwakilisha Vijana pale Mjengoni. Kulikon hajachukua Fomu?
Sabaya na Mwijaku wamechukua, watawawakilisha.
 
Binafsi Jocate ktk nyakati zake za U DC nilipenda sana uwajibikaji wake lkn baada ya kuanza kushika nyadhifa za kitaaifa, utendaji uliota mbawa na kilichobakia ni uchawa tu kwa kwenda mbele,
SIWEZI KUMPIGIA KURA
 
Usisahau analea kwa sasa. Pia Vunjabei kampotezea malengo yake
 
Binafsi Jocate ktk nyakati zake za U DC nilipenda sana uwajibikaji wake lkn baada ya kuanza kushika nyadhifa za kitaaifa, utendaji uliota mbawa na kilichobakia ni uchawa tu kwa kwenda mbele,
SIWEZI KUMPIGIA KURA
nyadhifa za kitaifa ni zipi alizoshika mkuu.
 
Akachangie namba ya bunyenzo? Mnataka balance mkigawana asikose ntu sio?
 
Rostam anawapaka paliki kwenye kinyeo mtakuja na mada za maajabu nyie CCM
 
Back
Top Bottom