Siyo photoshop kweli? Kama ni yeye basi nakubaliana na babu yangu kuwa mke mzuri mfuate kwao asubuhi kabla hajanawa uso na kujipaka mafuta au mpate kwenye msiba ule wa kizamani si wa kileo wa vimini na kujipodoa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.