Naftari Erasto
Senior Member
- Jul 22, 2016
- 108
- 50
Kwa walioomba kujiunga na vyuo vya afya na mkachaguliwa kujiunga na vyuo vya serikali, joining instructions zimetumwa kwenye emails zenu kaangalieni.
NB hii ni kwa walioomba kupitia NACTE
NB hii ni kwa walioomba kupitia NACTE