babadullah
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 508
- 321
Maelekezo ya wizara yanadai tarehe 25 Sept wanafunzi waripoti kuanza masomo
Cha ajabu mpaka Leo nyie wahusika wa vyuo hamtoi join instruction, hivi ndo kusema zinachapishwa Mogadishu au ni process kubwa sana kuandaa? au kwavile mumeshiba hamtujali sisi wenye njaa
Toeni join instruction mapema tujue tukakope wapo
Au mnataka mwanangu Dullah aje kuwa mfuasi wa panya road.
Join instruction hazihitaji fedha Za kigeni toeni mapema