hamix manko
Member
- Aug 1, 2016
- 92
- 29
hawana website?Habari zenu wakuu!!
Mwenye Joining instruction ya chuo cha Morogoro public health naomba anitumie tafadhari!!
Hawana aseee! naona vyuo vingi vya government havina websitehawana website?
ya bumbuli kama nishaga iona hivi ila sema utakua umechelewa icho chuo wameshafungua kama sijakoseaMwenye joining instruction za chuo cha afya bumbuli tanga anitumie mwanangu amechaguliwa huko nijue gharama zake
Umeitoa tovuti gani mkuu?Hv vyuo vya government hasa upande wa diploma na certificate hawana website nimejaribu kutizama sana!!! nahc joining instruction inatolewa na wizara ya Afya Maana juzi nmekuota ya nursing certificate and diploma toka wizara ya afya
Sawa sawa mkuu! pamojaNi vyema mkawa specific kwa kozi mnazoenda kusoma kwani joining instructions zinatofautiana baadhi ya vipengele. Vyuo vya serikali vinategemea muongozo wa wizara na havijiaulii kama ilivyo kwa private.
Diploma in medical lab vyuo vya serkali unapataje mkuuNi vyema mkawa specific kwa kozi mnazoenda kusoma kwani joining instructions zinatofautiana baadhi ya vipengele. Vyuo vya serikali vinategemea muongozo wa wizara na havijiaulii kama ilivyo kwa private.