Ukiingia portal ya Ajira leo kuna link inayoonyesha jinsi ya kupata Joining instructions kwa shule uliyochaguliwa.Habar za sahizi wakuu
Nilikua naulizia joining instruction ya shule ya TURA SECONDARY SCHOOL iliyoko Tabora maana nmejaribu kusearch kwenye website ya TAMISEMI naona inakataa kuja naombeni mnisaidie mwenye uelewa wa jinsi ya kuipata.