CdoEngineer
Member
- Feb 2, 2015
- 93
- 19
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Shule ya Sekondari Bagamoyo
Simu ya mezani: 255 23 244 021 1/2 Simu ya mkononi: 255 769 397 926 : 255 658 954 599 : 255 785 736 467 Barua pepe: bagamoyosecondary@ gmail.com Tovuti: www.bagamoyosecondary.com
S. L. P 42 Bagamoyo Tanzania, East Africa
Kumb.Na.BSS/A.6/30 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2
Tarehe: 02/07/2015
YAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2015/2016 Kwa niaba ya Bodi ya shule, watumishi na wanafunzi wa shule ya sekondari Bagamoyo, ninapenda kuitumia fursa hii kumpongeza mwanao kwa kuchaguliwa kwake kuendelea na masomo ya sekondari na kujiunga na shule hii. HONGERA SANA. MAHALI SHULE ILIPO Bagamoyo sekondari ipo mkoa wa Pwani wilaya ya Bagamoyo umbali wa km.2.5 kutoka stendi kuu ya mabasi ya Bagamoyo. Usafiri wa kufika Bagamoyo unapatikana katika kituo cha mabasi cha Makumbusho, jijini Dar es salaam. Basi hili litakufikisha Bagamoyo mjini. Kutoka Bagamoyo mjini hadi shule ya sekondari Bagamoyo unaweza kufika kwa mguu au kwa kukodi taxi, bei ni Tshs 3,000/=, kwa kukodi Bajaji Tshs 2,000/= au pikipiki kwa Tshs 1,000/=. Muda wa kuripoti shuleni ni kuanzia saa 2.00 kamili asubuhi hadi saa kumi (10.00) jioni katika ofisi ya Malezi au ofisi ya mwalimu wa zamu. MAHITAJI YA LAZIMA KWA KILA MWANAFUNZI Ni vema mahitaji haya yatimizwe kabla ya kuanza safari ya kuja shuleni. A) Malipo: Karo ya shule ni Tshs. 70,000/= kwa mwaka au Tshs. 35,000/= kwa muhula. Fedha ya tahadhari ( caution money) Tshs. 10,000/= Fedha kwa ajili ya mchango wa matibabu ni Tshs 10,000/= kwa mwaka au Tshs. 5,000/= kwa muhula. Vifaa vya darasani ambavyo ni madaftari (counter books) na mahitaji yote muhimu kadiri ya mchepuo wake. Fedha kwa ajili ya kitambulisho ni Tshs 5,000/= 1
Ulinzi Tshs 20,000/= kwa mwaka au Tshs 10,000/= kwa muhula. Fedha kwa ajili ya uboreshaji wa taaluma kwa mwaka Tshs 20,000/= au Tshs 10,000/= kwa muhula. Mchango wa Samani Tshs. 20,000/=. Alipe benki Tshs. 5,000/= kwa ajili ya BSSF (Mfuko wa wanafunzi)
Malipo yote yafanyike kwenye akaunti za shule. Shule ina akaunti mbili. i) Akaunti ya ada na ulinzi: Jina la akaunti ;Bagamoyo Secondary School. Namba ya akaunti; A/C 2101200044, Benki ya NMB tawi la Bagamoyo ii) Michango mingine; Jina la Akaunti; Headmaster Bagamoyo Secondary School. Namba ya akaunti; A/C 2101100004 Benki ya NMB tawi la Bagamoyo Usiweke fedha binafsi katika akaunti hizo. Lipa ada na michango mingine katika tawi la Benki ya NMB lililoko jirani nawe ili kuepuka upotevu/wizi wa fedha zako uwapo safarini. B) I ) SARE ZA SHULE ; Kwa wavulana: Mashati mawili meupe mapya ya mikono mifupi ya kitambaa cha tetroni. Viatu vyeusi vya ngozi soli fupi vya kupiga rangi na vya kufunga kwa kamba Soksi nyeusi jozi mbili. Suruali za 030 3dark blue030 4 mbili (2) zenye marinda mbele. Suruali za khaki mbili (2) zenye marinda mbele. Mkanda mweusi wa ngozi usio na nembo ya kihuni na wala bakoli nene. Alipe banki Tshs. 2,000/= kwa ajili ya kuwekewa Nembo ya Shule. Alipe benki Tshs.10,000/= kwa ajili ya T-shirt ya shule ya njano ambayo ataikuta shuleni kwa ajili ya kushindia NB: Ataripoti shuleni akiwa amevaa suruali ya 030 3dark blue030 4 na shati jeupe la shule. Hairuhusiwi kushona suruali ya kubana na isiyo na marinda (model). Suruali za namna hiyo hazitakiwi kabisa shuleni.
NB:
Kwa wasichana: Sketi mbili za rangi ya 03¡ãMaroon03¡À zenye marinda mawili moja mbele na moja nyuma kwa ajili ya sare ya shule. Mashati mawili meupe mapya ya mikono mifupi ya kitambaa cha tetroni au nusu kanzu na hijabu nyeupe kwa waislamu. Viatu vyeusi vya ngozi soli fupi vya kupiga rangi na vya kufunga kwa kamba au aina ya Juma na Rosa. Soksi nyeupe jozi mbili. Sketi mbili za rangi ya 03¡ãdark blue03¡À zenye marinda mawili moja mbele moja nyuma na hijabu ya 03¡ãdark blue03¡À kwa ajili ya kushindia. 2
T-shirt mbili za 03¡ãDark blue03¡À zenye shingo ya mviringo zisizo na maandishi kwa ajili ya michezo. Suruali mbili rangi ya 03¡ãdark blue03¡À zisizobana kwa ajili ya kuvaa usiku wakati wa kujisomea. Alipe banki Tshs. 2,000/= kwa ajili ya kuwekewa Nembo ya Shule. Alipe benki Tshs.10,000/= kwa ajili ya T-shirt ya shule ya njano ambayo ataikuta shuleni kwa ajili ya kushindia
NB: Sketi zote ziwe na urefu unaozidi magoti walau inchi tatu. Ataripoti shuleni akiwa amevaa sketi ya rangi ya 03¡ãdark blue03¡À na shati jeupe la shule au nusu kanzu nyeupe na Hijabu ya 03¡ãDark blue03¡À kwa waislam. II) SARE ZA MICHEZO KWA WAVULANA: PCM & HKL- Jezi zinazotumiwa na Manchester United rangi nyekundu na bukta zake. EGM & HGE- Jezi za Manchaster City rangi ya Blue Bahari za mikono mifupi na bukta zake. ECA & CBG- Jezi za Chelsea rangi ya blue mikono mifupi na bukta zake. PCB-Jezi za Arsenal rangi nyekundu mikono mifupi na bukta zake. NB: Wanafunzi wote waje na viatu/raba za michezo. C. MAAGIZO MENGINE YA SHULE Cheti cha kuzaliwa na kivuli chake. Cheti cha daktari (medical certificate) cha kuthibitisha afya ya mwanafunzi. Results slip na kivuli chake. Cheti cha kuhitimu kidato cha nne (leaving certificate) halisi na kivuli chake . Picha sita (6) za030 4passport size030 44 ziwe na 030 3background ya blue030 4 na vipimo vya sm.4 kwa 4 na uwe umevaa shati jeupe. Alete picha moja za passport size za wazazi/walezi wake wawili. Sanduku imara la kuhifadhi mali yake binafsi. Vyombo vya chakula, sahani, bakuli, kikombe na kijiko (siyo vya plastiki ) Ndoo ya plastiki yenye ukubwa wa ujazo Lt.10 ya kufulia na kuogea. Chombo safi chenye mfuniko kwa ajili ya kuwekea maji ya kunywa. Aje na tochi kwa ajili ya tahadhari wakati wa usiku. Bunda moja la karatasi ( A4 size) aina ya NOPA TOP, ROTATRIM au VESTA PLUS n.k Anashauriwa kuwa na akaunti binafsi ya benki ili aweze kutunza /kutumiwa fedha na mzazi/mlezi /wake. Koti jeupe (kama la madaktari) kwa wanafunzi wa sayansi. Mto wa kulalia MAHITAJI YANAYOPATIKANA SHULENI KWA BEI NAFUU Chandarua inapatikana hapa shuleni bure. Godoro la sponji la futi mbili na nusu ( comfy) Tsh. 40,000/= Shuka mbili za rangi moja (plain colour-blue sky) 2@ 8,500/= 17,000/= Kitambulisho cha shule Tsh. 5,000/= 3
2.
3. MAHITAJI YA MAKUNDI ECA PCB PCM Soft Bloom Soft Bloom Soft Bloom Fyekeo Mfagio wa wima wa chelewa Fyekeo Mfagio wa wima wa chelewa Fyekeo Mopper
CBG HGE HKL Hard Bloom Jembe Jembe lenye lenye Mpini Mpini Fyekeo Fyekeo Panga Sqeezer Mfagio wa Mopper wima wa chelewa
EGM Jembe lenye Mpini Rake Mfagio wa wima wa chelewa
MUHIMU: i) Mzazi/mlezi unashauriwa kumtimizia mwanao maagizo yote yanayohitajika shuleni na hakikisha kuwa MWANAO ANAFIKA SHULENI TAREHE ILIYOAGIZWA. ii) Kila mwanafunzi atatakiwa kuleta Bahasha na Stamp kwa ajili ya kutuma taarifa ya maendeleo yake ya kitaaluma kwa mzazi/mlezi wake kila mwisho wa muhula . iii) Kila mzazi/mlezi anashauriwa kufika shuleni mara kwa mara ili kufuatilia maendeleo ya mwanae kitaaluma na kimwenendo.Mzazi ataripoti ofisini kila anapofika shuleni. iv) Hairuhusiwi kabisa kwa mwanafunzi kuja na nguo au mavazi mengine yasiyo ya sare ya shule na kuyavaa. v) Ili kujikinga na baridi, mwanafunzi aje na sweta lenye rangi ya 030 4dark blue030 4 na lenye shingo yenye alama ya V na si vinginevyo. vi) Hairuhusiwi kabisa mwanafunzi kubaki shuleni wakati wa likizo.Kila mzazi/mlezi amtumie mwanae nauli mapema ili kuepuka usumbufu wowote unaoweza kujitokeza. vii) Mwanafunzi ahudhurie vipindi vyote na kufanya mitihani na mazoezi kama ratiba ya shule inavyoonyesha. Utawajibika kufuata sheria zote za shule baada ya kupokelewa shuleni. viii) Siku pekee ya kutembelea wanafunzi ni Jumamosi ya kwanza ya kila mwezi. Mwanao anakiwa kutambua kuwa nafasi aliyopata ni nyeti na adhimu hivyo anapaswa kuitumia nafasi hiyo kwa umakini wa hali ya juu ili baadaye aweze kuwa na manufaa kwa familia, jamii na Taifa kwa ujumla. Anatakiwa kuripoti shuleni kuanzia tarehe 18/07/2015 hadi tarehe 01/08/2015 katika ofisi ya malezi, baada ya hapo hatapokelewa kwani nafasi yake itachukuliwa na mtu mwingine. Kwa mara nyingine tena tunampa HONGERA NA KUMKARIBISHA SANA.
N.B: Tunaambatisha nakala ya sheria za shule kwa ufahamisho kwa mwanafunzi na mzazi/mlezi wa mwanafunzi.
4
SHERIA ZA SHULE Sheria na kanuni za shule zinazingatia msingi ya HEKIMA, ADABU, UAMINIFU, UTII NA TABIA NJEMA kwa ujumla. Wanafunzi kwa ujumla wanatazamiwa kuwa mfano mzuri kwa heshima na tabia kwa kauli na vitendo vyao. Hivyo:1. 2. 3. 4. 5. Mwanafunzi atasimama anapomsalimia mwalimu au mtu yeyote aliyemzidi umri. Ni marufuku kwa mwanafunzi; kutumia lugha chafu au ya kihuni popote na wakati wowote. Kumiliki na au kutumia simu ya kiganjani awapo shuleni. Kupeleka au kulia chakula bwenini . Kuvuta sigara na au kutumia madawa ya kulevya. Kufuga kucha ndefu na kuwa na nywele ndefu. Kufuga ndevu. Kunyoa kipara. Kumpiga mwenzake au kupigana. Kutukana. Kutia dawa nywele (curl), na kujichubua ngozi ya mwili kwa madawa. Kuvaa kofia shuleni au mapambo/urembo kama hereni, n.k. akiwa shuleni. Kuvaa viatu vya soli nene (ghorofa) Kuvaa kaptula, kandambili na fulana ya kukata mikono (singlet) kwenye bwalo la chakula. Hairuhusiwi mwanafunzi kuja na nguo zisizokuwa za shule. Pia haruhusiwi kutumia 03¡ãchombo chochote cha umeme. Atasimama kwenye mstari wakati wa kupata huduma. Mwanafunzi atanyoosha mkono juu na kusimama anapouliza au kujibu swali. Mwanafunzi asipige kelele anapokuwa darasani, kwenye 030 3prep030 4, mazingira ya shule na katika mkusanyiko wo wote. LAZIMA mwanafunzi AWAHI NA AHUDHURIE mahali anapotakiwa katika shughuli za shule. Hivyo awahi na aripoti. NI LAZIMA Mwanafunzi awe katika sare ya shule kwa nyakati zifiutazo🙁a) Anapohudhuria masomo darasani. (b) Anapotoka nje ya shule kwa ruksa maalumu kwa shughuli yoyote itakayomlazimu kwenda nje ya shule. NI LAZIMA mwanafunzi awe ndani ya mipaka ya shule wakati wote isipokuwa akiruhusiwa kuwa nje ya shule kwa ruhusa maalumu, na atapaswa kuwa na kibali (Pasi) cha maandishi. Mwanafunzi lazima awe kitandani kwake wakati wa kuzima taa/kulala (lights out) saa 5.30 usiku. 5
6.
7.
8.
9.
10.
Mwanafunzi haruhusiwi🙁a) Kwenda kwenye nyumba za watumishi wa shule bila kibali maalum. (b) Kuingia kwenye Ofisi za Shule ¡§C Ofisi za walimu, jikoni, na maabara bila ruhusa. (c) Kuingia nyumba za vileo (baa na vilabu vya pombe), majumba ya starehe, na nyumba za kufikia wageni (Guest Houses). USAFI: Mwanafunzi anawajibika kuwa msafi na kushiriki kuyaweka mazingira ya shule katika hali ya usafi. 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. 11. Mahudhurio hafifu darasani. Wizi. Uasherati, ubakaji na ushoga. Ulevi na utumiaji wa madawa ya kulevya. Makosa ya jinai (Criminal Offences). Kupigana au kumpiga mtu mwingine. Kuharibu mali ya umma kwa makusudi . Kudharau Bendera ya Taifa. Kuoa au kuoolewa. Kupata au kutoa mimba/kusababisha mimba. Kugoma, kuchochea na kuongoza au kuvuruga amani na usalama wa watu shuleni. 12. Kukataa adhabu halali. 13. Utoro 14 Kumiliki na/au kutumia simu ya kiganjani awapo shuleni. 15. Kujiachisha shule mwenyewe.
11.
MAKOSA YANAYOWEZA KUSABABISHA MWANAFUNZI KUFUKUZWA SHULE.
6
TAARIFA BINAFSI YA MWANAFUNZI 1. i) Majina kamili ya mwanafunzi.030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2Me/Ke ii) Tarehe ya kuzaliwa030 2030 2030 2.. mwezi030 2030 2030 2030 2mwaka030 2030 2030 2030 2030 2030 2..030 2030 2030 2030 2030 2030 2... iii) Shule uliyotoka kidato cha Nne;030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2 Anwani030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2..030 2030 2.030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2. 2. Je wazazi wote ni hai? Ndiyo / hapana030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.030 2030 2030 2.030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2. a) Na kama hapana nani yuko hai 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2 Jina la mzazi: 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2. Kazi yake: 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.. Anuani yake: 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2..030 2030 2030 2030 2030 2.. Makazi yake : 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2Simu:030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2 b) Kama unalelewa na mlezi asiye mzazi wako; Jina la mlezi wako (majina matatu)030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2 Uhusiano na mlezi wako (kaka,dada,n.k)030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.030 2030 2030 2030 2 Kazi yake030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.. Anwani yake030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2...030 2030 2030 2030 2030 2.. Makazi yake: 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.Simu030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2..
3.
Umewahi kuwa kiongozi?Ndiyo/Hapana Kama jibu ni ndiyo a) Mahali030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2..030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2. b) Nafasi uliyoshika030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2 c) Mwaka030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2..030 2hadi030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2. Afya. a) Je una ulemavu wa viungo? Ndiyo.hapana030 2030 2030 2030 2030 2030 2..030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.. b) Kama ndiyo taja aina ya ulemavu030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.030 2030 2030 2. Orodhesha majina ya ndugu watatu (nje ya uliowataja hapo juu) ambao wanaweza kuitwa kwa dharura. Jina Uhusiano simu 1. 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.. 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2. 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2 2. 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.. 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2. 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2 3. 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2. 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2. 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2. Uthibitisho wa taarifa iliyotolewa; Mimi (jina la mwanafunzi) 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2..nathibitisha kwamba maelezo niliyotoa ni ya KWELI na endapo itathibitika kuwa nimedanganya hatua stahiki za kisheria zichukuliwe dhidi yangu. Tarehe030 2030 2030 2030 2..030 2030 2030 2030 2030 2.. Sahihi030 2030 2030 2030 2030 2..030 2030 2030 2030 2030 2030 2.030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.. Jina na sahihi ya mzazi/mlezi Jina030 2030 2030 2030 2030 2030 2.030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2 Sahihi030 2030 2030 2030 2030 2030 2.030 2030 2030 2030 2030 2030 2
4.
5.
6.
7
8.
Jina na sahihi ya mwenyekiti wa kijiji/Afisa Mtendaji Jina030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2 Sahihi030 2030 2030 2030 2.. Muhuri030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2 7
AHADI YA KIAPO CHA MWANAFUNZI Mimi030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2..030 2030 2030 2030 2. Ambaye nimechaguliwa kujiunga na Shule ya Sekondari Bagamoyo kidato cha tano mchepuo030 2. 030 2030 2.mwaka030 2030 2030 2030 2ninaipokea na kuikubali nafasi niliyopewa. Ninatambua kuwa nafasi hii ni adimu, nyeti na ya upendeleo kwangu ili niweze kusoma na kufanya vizuri katika masomo nikiwa na tabia na mwenendo mwema kwa ajili yangu binafsi, familia yangu na Taifa langu la Tanzania. Ninaamini kuwa vitendo vyovyote vinavyosababisha uzembe katika kufanikisha Makusudio haya ni hujuma kwa Taifa langu, Shule yangu na familiya yangu na kwangu pia. Hivyo ninaahidi kuwa; 1 Nitasoma kwa bidii na kufanya mitihani na majaribio yote ili kufikia malengo ya kufanya vizuri katika masomo. Nitashika na kufuata sheria na taratibu zote za shule kama nilivyozisoma na kuzielewa na zingine zitakazokuwa zinatolewa mara kwa mara. Sitajihusisha na vitendo vyovyote vya utovu wa nidhamu nikiwa hapa shuleni na nje ya shule. Ikiwa nitakiuka sheria , kanuni, na taratibu za shule kama nilivyozisoma na kuzielewa, nitakubali kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria za shule. Sahihi ya mwanafunzi: 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2..Tarehe: 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2 Sehemu ya mzazi/mlezi. Mimi030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.ninakubali mtoto wangu030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2 Kupata na kupokea nafasi katika shule ya Sekondari Bagamoyo kidato cha tano mwaka 2015/2016. Ninaahidi kumpatia mahitaji yote ya shule kama ilivyo katika maagizo ya kujiunga na shule. Ninakuhakikishia kuwa nitashirikiana na shule wakati wote kuona kuwa mwanangu anatekeleza wajibu wake kwa shule na kwa Taifa. Anwani yangu ya kudumu ni030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.. 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.. Namba ya simu030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2. Iwapo nitapata uhamisho au kubadili makazi nitaijulisha shule kwa maandishi. Sahihi: 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.tarehe:030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.
2.
3.
4.
8
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PART A: REQUESTO FOR MEDICAL EXAMINATION
To:
The Medical Officer (Government Hospital)
030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.. 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2. 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.
From: Bagamoyo Secondary School,
P.O. Box42, Bagamoyo. Date:030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2
Mr/Mrs/Miss030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2. (Name in Full) Please examine the above named as to his/her physical and mental fitness for a full-time Secondary Education. The examination should include the following ineligible in case of a defect. Pregnancy (Category IV) will also render a girl candidate ineligible for a Secondary Education.
1. 2. (a) Eye sight (b) Speech (c) Hearing (d) Limbs (e) Venereal Diseases (f) Leprosy (g) Epilepsy. Neuroses 3. Other Serious diseases. MEDICAL CERTIFICATE: (a) (b) (c) (d) (e) (f) (g) 2. 3. 4. Eye sight: Hearing: Speech: Limbs: Leprosy: Epilepsy: 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2. 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2..030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2. 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.030 2030 2030 2030 2. 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.. 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2..030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2..
Part B: 1.
Venereal Diseases: 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2..030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2..
Neuroses: Pregnancy:
030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.. 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2..
Other serious diseases: 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.030 2030 2030 2030 2030 2030 2.. 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2..
I have examined the above named, and consider that he/she is physically fit/unfit and mentally fit/unfit for fulltime Secondary Education. Designation:030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2 030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2030 2.. Signature & official Stamp: (To be completed by a Government Officer) Date:030 2030 2030 2030 2030 2030 2.
N.B: Incase of any serious health problem (s), the records from the Government Hospital MUST be submitted to School when reporting.
9