Joho bodyguard shot during chaotic ODM rally in Migori

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
23,812
27,694
Watu kadhaa wamejeruhiwa katika vurugu zilizotokea ktk mkutani wa Chama cha ODM mjini Migori. Hii ilikuwa ni baada ya kambi za kisiasa kugombana na wafuasi wa mmoja wao kurusha risasi hewani ili kutawanya watu.

Bodigadi mmoja wa Gavana Ali Joho wa Mombasa alipigwa risasi ktk vurugu hiyo. Joho hadi sasa anadai kuwa huo ulikuwa ni mpango wa kutaka kumuua.

Imegundulika kuwa aliyefyatua risasi ni mmoja wa wafuasi wa Okoth Obado, Gavana wa Migori ambaye hakutaka mkutano huo ufanyike mjini kwake. Alivamia mkutano huo na watu kuanza kumrushia chupa huku wakizomea kitendo kilichopelekea walinzi wake kufyatua risasi.

Mbunge wa Mvita, Abdulswamad Nassir amesema kuwa anaamini kuwa lilikuwa jaribio la kumuua Joho kwani gari alilokuwemo lilipigwa risasi mara tatu.

========

Several people were injured when chaos broke out in an ODM rally in Migori Town. This was after various political camps clashed forcing police to shoot in the air to disperse the crowd attending the rally. One of Mombasa Governor Ali Hassan Joho’s bodyguards was shot and injured in the ensuing violence. And as our reporter Rashid Ronald reports, Joho is now claiming there was a plot to assassinate him.

Source: KTN News Kenya

Mombasa Governor Hassan Joho's bodyguard was shot and injured by one attached to Migori's Okoth Obado during a chaotic ODM rally on Monday, an MP has said.

Obado made good his threat to prevent ODM from holding a rally in Migori town.

The rally at Posta grounds was completely disrupted when he arrived unannounced as Kisumu Senator Anyang’ Nyong’o addressed the crowd.

Immediately after seeing him, the crowd booed and threw water bottles, stones and shoes at the podium.

This forced Obado's guards to fire in the air. A bullet went through a VIP seat in an area where dignitaries were seated.

The seat had blood stains but it was not clear which official was shot.

Mvita MP Abdulswamad Nassir told the Star: "This was an assassination attempt. They were after Joho. Our car was shot at three times."

Police were not immediately available for comment.

Joho's rallies have either been cancelled or ended in chaos. Police have given reasons including lack of approval and their inability to provide security.

The Governor was in the county to officially launch ODM office with fellow ODM deputy leader Wycliffe Oparanya (Kakamega).

A group earlier demonstrated against Obado after ODM organisers were locked out of Migori county.
 
Migori County, Kenya

Kisumu Senator Prof. Anyang Nyong'o is shielded from a rowdy group when chaos erupted at the rally April 4, 2017 in Migori town, Kenya.

upload_2017-4-4_20-20-52.jpeg

Migori Governor Okoth Obado (centre) scampers for safety as his bodyguards shoot in the air at Posta Grounds in Migori town on April 03, 2017
 
Wakenya katika Ubora wenu!

I wish watanzania tungekua na mindset za kufanana na nyinyi hata 25% Tu. Huyo Joho SI ndo yule WA vyeti?

ITA WA WAZIMA MOTO... Dawa ya Moto Ni Moto.
 
Wakenya katika Ubora wenu!

I wish watanzania tungekua na mindset za kufanana na nyinyi hata 25% Tu. Huyo Joho SI ndo yule WA vyeti?

ITA WA WAZIMA MOTO... Dawa ya Moto Ni Moto.

Ni huyo jamaa wa vyeti, maana naona shule alisoma wamesema yuko na vyeti safi.

Sasa, wameona watafute vile watamtoa roho au kummaliza kisiasa .

Though, I am very sorry for Kenyans for forgetting very soon a tragedy they went through in 2007.
For sure , it sounds strange to me!
 
Ni huyo jamaa wa vyeti, maana naona shule alisoma wamesema yuko na vyeti safi.

Sasa, wameona watafute vile watamtoa roho au kummaliza kisiasa .
Wakenya mko very serious na Mambo yenu, Hua hamuentertain Upuuzi... Kama mtu hamumtaki mnaanza kawaida, ikibounce mnaemploy violence.

Sisi huku tumebaki kinyonge Tu. Mtu hatumtaki but ndio tunasomeshwa nae namba huyo huyo.
 
Wakenya katika Ubora wenu!

I wish watanzania tungekua na mindset za kufanana na nyinyi hata 25% Tu. Huyo Joho SI ndo yule WA vyeti?

ITA WA WAZIMA MOTO... Dawa ya Moto Ni Moto.
Joho kila kukicha umaarufu unaongezeka. Ametokea kupendwa na wa kenya usiseme. Mikutano ya hadhara ya NASA inarindima kwa sauti za umati ukitaja Joho, Joho. ........
 
Joho kila kukicha umaarufu unaongezeka. Ametokea kupendwa na wa kenya usiseme. Mikutano ya hadhara ya NASA inarindima kwa sauti za umati ukitaja Joho, Joho. ........
Ofcoz, mti wenye maembe ndiyo unapigwa Mawe. Huyu Joho anatokea Upinzani?
 
Hivi huyu Joho si aache tu mambo haya hana kazi nyingine ya kufanya huyu?
 
Kwanini Wanalalamika Mkuu? Tatizo hasa Ni nini?
Laila mlalamishi sana kuliko unavyodhani..yeye kila kitu analalamika tu..kataka yume mpya haya imewekwa sasa eti wanataka wao nao wawe na tallying centre yao wajumlishe matokeo....mi sijawahi kuona hiyo
 
Kajifunze kiswahili kwanza
 
Wakenya mko very serious na Mambo yenu, Hua hamuentertain Upuuzi... Kama mtu hamumtaki mnaanza kawaida, ikibounce mnaemploy violence.

Sisi huku tumebaki kinyonge Tu. Mtu hatumtaki but ndio tunasomeshwa nae namba huyo huyo.
Omba Uraia Kenya endelea kuwasifia halafu subiri moto wa Uchaguzi. Magu hana muda na kusuluhisha Machafuko.
 
Laila mlalamishi sana kuliko unavyodhani..yeye kila kitu analalamika tu..kataka yume mpya haya imewekwa sasa eti wanataka wao nao wawe na tallying centre yao wajumlishe matokeo....mi sijawahi kuona hiyo
Mimi nadhani Ni katika harakati za kuhakikisha kweli Tume iko HURU na haki.

Kama Ni kweli hakuna vigisu zozote kwani Kuna ubaya gani na wao wakiwa na tallying center Yao? Though iwe kwa gharama zao.

Ifike mahali lazima waafrica tukubali uwazi na haki, Trust me, Trump angekua anagombea huku kwetu, tume zisingempa Urais, Ila kwakua wenzetu Wako huru ndio maana kashinda.

So ukiniuliza Mimi, sioni tatizo la tallying centre kama kweli TUME IKO HURU na Rais Uhuru anajiamini.
 
Omba Uraia Kenya endelea kuwasifia halafu subiri moto wa Uchaguzi. Magu hana muda na kusuluhisha Machafuko.
CCM mbona wakorofi hivi? Mnafuata nini Huku? Mimi naongea na majirani zangu unakuja kunitajia Magu.. Who is Magu, unamaanisha Wilaya ya Magu mkoa Wa Mwanza?
 
Wakenya mko very serious na Mambo yenu, Hua hamuentertain Upuuzi... Kama mtu hamumtaki mnaanza kawaida, ikibounce mnaemploy violence.

Sisi huku tumebaki kinyonge Tu. Mtu hatumtaki but ndio tunasomeshwa nae namba huyo huyo.

Mimi ni Tanzania kabisaaa

Sema tu wakenya wamenisikitisha, maana naona wanafungua njia nyeupeeee kwenda vitani tena kama 2007/2008.
 
Wakenya mko very serious na Mambo yenu, Hua hamuentertain Upuuzi... Kama mtu hamumtaki mnaanza kawaida, ikibounce mnaemploy violence.

Sisi huku tumebaki kinyonge Tu. Mtu hatumtaki but ndio tunasomeshwa nae namba huyo huyo.

Who asked you to talk on behalf of others? are stupid? jiongelee mwenyewe pimbi!
 
Back
Top Bottom