ccm yamefilisika mawazoikuwa ametumwa na ccm
Baada ya matokeo ya uchaguzi Arumeru kuthibitisha kuwa Chadema ndio chaguo halisi la wananchi, tukumbuke kauli zenye utata zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya MAWAKALA WA CCM
John Tendwa msajili wa vyama vya siasa alimuonya kamanda Lema asifike Arumeru kwakuwa damu itamwagika kwa mujibu wa washiri. John Tendwa sasa aitishe press conference na atuambie je atawafanya nini wale waliomdanganya na hivyo yeye kuliongopea taifa??
Na kwa kauli yake hiyo ambayo haikutokea licha ya kamanda lema kuweka kambi Arumeru, kwanini Tendwa asijiuzulu?[/QUOTE]
ni Tanzania pekee amapo CV inajengwa kwa kufanya maamuzi ya ovyo ,na pale mtu anapochukiwa/kukataliwa na umma ndipo hupandishwa vyeo rejea sakata la waziri(kimantiki anapaswa awe nje ya ofic hii) wa afya na naibu wake.Kamishina Adad Rajabu na wengine.Mungu ibarik Tanzania.Idhohofishe CCM milele
CHADEMA wamfungulie kesi ili huyu mpumbavuasirudie tabia hii lema kila mkutano alikuwa anaenda alikuwa anpokelewa kama mfalme hata alipoenda nyumbani kwao na SIOI Sumari alifunika mbovu kabisaBaada ya matokeo ya uchaguzi Arumeru kuthibitisha kuwa Chadema ndio chaguo halisi la wananchi, tukumbuke kauli zenye utata zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya MAWAKALA WA CCM
John Tendwa msajili wa vyama vya siasa alimuonya kamanda Lema asifike Arumeru kwakuwa damu itamwagika kwa mujibu wa washiri. John Tendwa sasa aitishe press conference na atuambie je atawafanya nini wale waliomdanganya na hivyo yeye kuliongopea taifa??
Na kwa kauli yake hiyo ambayo haikutokea licha ya kamanda lema kuweka kambi Arumeru, kwanini Tendwa asijiuzulu?
Hawa viongozi wa jadi ni "WASHILI".
Ukiwaita "WASHIRI" inaweza kumaanisha ni wale Waarabu wa huko Yemeni.
Tendwa ni sawa na mtu aliye kwenye concert anaimbishwa tu wimbo na mwimbishaji hata kama wimbo wenyewe hauna ladha,Baada ya matokeo ya uchaguzi Arumeru kuthibitisha kuwa Chadema ndio chaguo halisi la wananchi, tukumbuke kauli zenye utata zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya MAWAKALA WA CCM