Tetesi: John Pambalu kupewa kesi ya Uhaini

Siku za mwanadamu ni chache sana nazo zinahesabika sana sana miaka 70, tenda wema nenda zako.
Yes,
hata biblia imeeleza wazi kabisa kwamba,

"Mwanadamu aliezaliwa na mwanamke,
siku zake si nyingi, tena hujaa taabu"

je,
unapitia kipindi gani sasa wewe gentleman, cha tabu ama?
 
Mimi nipo poa, ila kuna watu wanafikiri wapo duniani kuishi kumbe tupo duniani ili tufe, where is Chivayo.
uko sahihi gentleman,
Ni vizuri kutafakari na kumshukuru Mungu tu kwa kila jambo, coz, where are some of our beloved brothers, sisters, relatives and friends?

in fact,
"kwangu mimi kuishi ni Kristo na kufa ni faida" 🐒
 
Ukweli ni kuwa kama Watanzania hatutaamka na kupambana na Hawa wapuuzi vita ya damu kwa damu hatuwezi kujisaidia Wala kujikomboa... Ccm saizi inahitaji raia wenye kujitoa mhanga.. tukipigana tukaua kama ccm 300+ wakiwemo watoto wa vigogo wa ccm basi ndio watajua nini watanzania tunataka .. hizi habara za kila siku kuja hapa na kusema KUTAPAMBAZUKA huku hakuna shinikizo la kupigana kwa uhalisia ... Ni kupoteza muda...!!. Hapa shika jitu kama Lucas mwashamba chinja hadharani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…