Kweli kabisa mkuu ...huyu anakumbukwa kwa Kupigana Bega kwa Bega na fighter pilots wenzake kina General mboma ..Darling ..Mdogo wake Andrew na wenzake kupiga bombs Uganda na kwingine wakati wa ukombozi ...
Naamini Jeshi la wananchi pia lina stahiki kupewa pole kwa kuondoka Mstaafu wake .
Mwana jf mwenzetu Andrew, poleni sana kwa msiba huu mkubwa na nadhani ndio wa kwanza kwa mtoto wa Mwalimu!.
Kusema ukweli baadhi ya wanafamilia wa Baba wa Taifa wako too low profile kiasi licha ya mimi kukulia jirani na Pale Msasani huku tukisoma darasa moja na Milton sikuwahi kusikia lolote kumhusu John zaidi ya kusikia alikuwa na cheo cha Capt. wa JWTZ na alikuwa ni fighter pilot wa Jet.
Wacheni kutengeneza muv hapa nyerere halikataa kwenda huko but mkamforce kumpeleka london ingawa doctor wake alikataa
Ndio maana inasemekana kifo cha nyerere kilipangwa na CCM.
Nahisi angetibiwa hapa anekuwepo hadi leo.
Konekti dots, jamaa aliota wako watu watatu mmojawao akawa raisi, huyo John hakumtaja kabisa kama mmoja wa wanafamilia aliowaota. Halafu soma kitabu cha THREE LIVES then uje na hitimisho.