John Mrema kuongoza usajili wa ‘CHADEMA Digital’ Mbarali

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,697
Reaction score
272,570
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Chadema kwa watu wote Duniani .

KWA FAIDA YA WANA JF na WATANZANIA WENGINE Ikumbukwe kwamba Mgombea ubunge wa Chadema kwenye ulioitwa uchaguzi mkuu wa 2020 Jimbo la Mbarali alikuwa ni Bingwa wa magonjwa ya upumuaji Nchini Marekani , Dr Liberatus Mwang'ombe , Taarifa zinaonyesha kwamba alishinda Uchaguzi ule ila kama ilivyoagizwa Hakutangazwa.

Ndio maana Chadema imemtuma Mkurugenzi wake wa Itifaki na Mambo ya Nje , Mh John Mrema kuongoza Chadema digital kwenye jimbo hilo .

TAARIFA%3A_Wana_Mbarali%2C_Jumatano%2C_November_3%2C_2021_Mh._John_Mrema_atakua_Mbarali_kwaaji...jpg

Mungu ibariki Chadema
 
Huyo jamaa hanaga akili, huwa anaiwaza chadema tu. Watu wanajadili mambo ya maana ya kujiingizia kipato yeye kakomaa na chadema digital na kuanzisha vi thread uchwala kila baada ya nusu saa. Mwenye chama ana kesi ya ugaidi yeye amekomaa na kuanzisha thread.
Sasa wewe unayejiona una akili mbona inamfuatilia na kusoma post zake au ndiyo njia yako ya kujiingizia kipato? Wewe utakuwa taahira kabisa
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Chadema kwa watu wote Duniani .

KWA FAIDA YA WANA JF na WATANZANIA WENGINE Ikumbukwe kwamba Mgombea ubunge wa Chadema kwenye ulioitwa uchaguzi mkuu wa 2020 Jimbo la Mbarali alikuwa ni Bingwa wa magonjwa ya upumuaji Nchini Marekani , Dr Liberatus Mwang'ombe , Taarifa zinaonyesha kwamba alishinda Uchaguzi ule ila kama ilivyoagizwa Hakutangazwa.

Ndio maana Chadema imemtuma Mkurugenzi wake wa Itifaki na Mambo ya Nje , Mh John Mrema kuongoza Chadema digital kwenye jimbo hilo .

View attachment 1995157

Mungu ibariki Chadema
Cdm ni mpango wa dhidi ya uonevu wanaofanyiwa wananchi wa tanzania.

Ipo siku Mungu ataamua kuutangazia ulimwengu maovu yote tunayo fanyiwa na hao Mungiki.
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Chadema kwa watu wote Duniani .

KWA FAIDA YA WANA JF na WATANZANIA WENGINE Ikumbukwe kwamba Mgombea ubunge wa Chadema kwenye ulioitwa uchaguzi mkuu wa 2020 Jimbo la Mbarali alikuwa ni Bingwa wa magonjwa ya upumuaji Nchini Marekani , Dr Liberatus Mwang'ombe , Taarifa zinaonyesha kwamba alishinda Uchaguzi ule ila kama ilivyoagizwa Hakutangazwa.

Ndio maana Chadema imemtuma Mkurugenzi wake wa Itifaki na Mambo ya Nje , Mh John Mrema kuongoza Chadema digital kwenye jimbo hilo .

View attachment 1995157

Mungu ibariki Chadema

Utter nonsense! …This is an insult to the medical profession. CHADEMA mmedanganywa na nani kwamba Liberatus ni daktari, let alone daktari bingwa wa magonjwa ya upumuaji?
 
Huyo jamaa hanaga akili, huwa anaiwaza chadema tu. Watu wanajadili mambo ya maana ya kujiingizia kipato yeye kakomaa na chadema digital na kuanzisha vi thread uchwala kila baada ya nusu saa. Mwenye chama ana kesi ya ugaidi yeye amekomaa na kuanzisha thread.
Mbona unaumia Sana na vitu vyepesi , hii ndo CHADEMA mtapasuka ubongo mwaka huu
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Chadema kwa watu wote Duniani .

KWA FAIDA YA WANA JF na WATANZANIA WENGINE Ikumbukwe kwamba Mgombea ubunge wa Chadema kwenye ulioitwa uchaguzi mkuu wa 2020 Jimbo la Mbarali alikuwa ni Bingwa wa magonjwa ya upumuaji Nchini Marekani , Dr Liberatus Mwang'ombe , Taarifa zinaonyesha kwamba alishinda Uchaguzi ule ila kama ilivyoagizwa Hakutangazwa.

Ndio maana Chadema imemtuma Mkurugenzi wake wa Itifaki na Mambo ya Nje , Mh John Mrema kuongoza Chadema digital kwenye jimbo hilo .

View attachment 1995157

Mungu ibariki Chadema
Nilifikiri ataongoza maandamano upuuzi mtupu!
 
Back
Top Bottom