Naona ni spelling mistake,lakini kaeleweka....Chasema?
Imekuwa ni kawaida kwa wabunge na viongozi wengine wa chadema kuwa karibu sana na wananchi na kuwatetea mahala husika, Hali hii ni tofauti kabisha kwa huyu mkurugenzi wa halmashauri ya bunge John Mrema, Kwa zaidi ya mara tatu nimekuwa nikimpigia simu na kumuandikia sms ashiriki katika ufunguzi wa tawi la chadema mahala ninapoishi ila kila anavyopokea simu na kusikiliza ninachomwambia juu ya mm kumtaka awe miongoni mwa watakaokuja kuzindua anasema yupo busy nimpigie badae na sms hajibu, Nashangaa anavyojifanya busy kumshinda hata Mbowe au slaa ambao ukiwapigia simu ukawaelezea shida yako ya kukiendeleza chama wanakusikiliza na kukusaidia na km kwa muda huo wapo busy wanakipigia badae,
Ombi langu kwa uongozi wa juu wa chama:
- Watu kama hawa muwachukulie hatua mathubuti kwani wanazuia maendeleo ya chama kwa makusudi na wanatukera sana sisi wanachama tuliopo ngazi za chini tunaojaribu kufanya utekelezaji wa kukiimarisha chama kutoka ngazi ya msingi na tawi sehemu sehemu zilizo muhimu zaidi.
umeuambia uongozi kabla huja leta hapa, maana kama viongozi mtakuwa mna kimbilia JF kushitaki au kulalamika sijui kama tutafika.. viongozi type ya John Mrema hawafai kwani wao hufikilia kuwa uongozi ni mapozi...Imekuwa ni kawaida kwa wabunge na viongozi wengine wa chadema kuwa karibu sana na wananchi na kuwatetea mahala husika, Hali hii ni tofauti kabisha kwa huyu mkurugenzi wa halmashauri ya bunge John Mrema, Kwa zaidi ya mara tatu nimekuwa nikimpigia simu na kumuandikia sms ashiriki katika ufunguzi wa tawi la chadema mahala ninapoishi ila kila anavyopokea simu na kusikiliza ninachomwambia juu ya mm kumtaka awe miongoni mwa watakaokuja kuzindua anasema yupo busy nimpigie badae na sms hajibu, Nashangaa anavyojifanya busy kumshinda hata Mbowe au slaa ambao ukiwapigia simu ukawaelezea shida yako ya kukiendeleza chama wanakusikiliza na kukusaidia na km kwa muda huo wapo busy wanakipigia badae,
Ombi langu kwa uongozi wa juu wa chama:
- Watu kama hawa muwachukulie hatua mathubuti kwani wanazuia maendeleo ya chama kwa makusudi na wanatukera sana sisi wanachama tuliopo ngazi za chini tunaojaribu kufanya utekelezaji wa kukiimarisha chama kutoka ngazi ya msingi na tawi sehemu sehemu zilizo muhimu zaidi.
eee! lakini jamani na wewe utakuta pengine kulikuwa na watu wengine ungeweza kuwaomba kushriki shughuli hiyo.........angechangia lema mwenyewe tungepata picha kamili haya mambo mengine ya mtu kuamka na kumwandika mtu direct bila kujua kuwa wewe ni nani na unawakilisha nani na upo kitongoji au kata gani yanaweza kutuvuruga sana.....unaweza ukawa unasema ukweli ila pia walio makini hawawezi kuchangia na kujadili mtu binafsi kirahisi hivyo vinginevyo naamnini falsafa ya chadema ni zaidi ya magamba yaani ungewasilisha sehemu husika ili lifanyiwe kazi badala ya kusema tu viongozi wa juu wamchukulie hatua..............
"TO ME THE POST IS TOO BLIND TO BE DISCUSSED"
Ben,
Una lako, ndio nimesema unalako unaki-nyongo. Muda uliotumia kuandika hio makala yako na hoja hii hapa havilingani. Kwanini wewe kwa akili ndogo hujui hiki ni kipindi cha bunge na yeye ndo muda wake wa kuperform? kumbe ndo maana ulijitoa kuunganisha nguvu?
Samahani lakini kama nakubore. Uzuri huku kwetu Kahama tunasomea humu-humu ila nyie waDar mnajuana vizuri, so nimeelewa hivo na ku-hukumu hivo.
Gwota, Got it wrong because he aired his complaints on this forum instead of channelling his views directly through party machinery.Let me hope kwamba amepeleka malalamishi kule,kama hajafanya hivyo next time inabidi afanye hivyo ili kuimarisha flow of information,kuwajibishana na nidhamu ya kweli katika chama ambacho kina jukumu la kutoa taswira ya wajibu na nidhamu katika kuiwajibisha serikali iliyopo madarakani.Kama chadema ingekuwa MNC ( Mult-national Company) basi Gwota ungekuwa umevunja mojawapo ya Corporate values! you could be in trouble.
However,We should employ political tolerance in this era of multi-political democratic landscape.Mleta hoja Hajafanya kosa kubwa sana,kwa hiyo tusimlaumu mleta hoja badala yake tuonyeshe tolerance kwa kujadili hoja aliyoileta.Kama muhusika anapita huku naye kwa umakini wake wa kisiasa,kwa utashi na unyofu wa moyo wake na kwa nidhamu ya kutumikia jukumu alilo nalo basi atalifanyia kazi hili kwa uaminifu na au hata kujirekebisha
Tuwe tayari kupokea changamoto na kuzifanyia uatuzi kwa kiwango husika na kinachostahili,ni wakati wa kuonyesha kwamba tuko tayari kujisahihisha.Sidhani kama wapenzi na wafuasi wa chama chochote cha siasa kinachojua kwamba CCM imefika hapa ilipo kutokana na kuwa kiziwi au kiburi cha kutowasikiliza wananchi,wanachama na wafuasi wake kitasita kuyafanyaia kazi malalamishi,mawazo,maoni na au hata kuchukua hatua za kinidhamu katika kuwajibishana ili tutoe taswira tofauti na ile iliyozoeleka.
Kwa hiyo ni bora kujadili hoja za mleta hoja,ingawa siungi mkono mantiki ya kukimbilia JF au kwenye media kabla ya kupeleka hoja zako kwenye vyombo husika,na vilevile hatuwezi kuwa vipofu au kufumbia hoja ati kwa sababu imetolewa in a wrong platform.Hii ni social-political forum,Motto wa JF pengine umemsukuma kuinbgia hapa na kusema aliyosema ila asiutumie uhuru huo vibaya pia.Afikirie maslahi ya wengi zaidi(kupitia chama kwa maslahi mapana)
So,It is my humble request that,People have the right to free speech, and yes, even the right to be offensive. I don't condone filthy talk but at least let's not turn here into a freaking circus. It'll just be like turning yourself into a laughing stock
Ben,
jiandae na jimbo lako,nimepata fununu unataka kugombea jimbo moja hapa dar es Salaam na kuna mbunge mmoja(CCM) jana kwenye vinywaji tu kasema anakuwekea mikakati.waache wanaoutaka urais au uenyekiti taifa waendeleee wewe jipange na jimbo lako.Achani uhuni,ushenzi wenu mnaofanya!Mwenzenu jeuri ya hela za madini ndizo anazotumia kukataa posho na kufadhili kwa hali na mali makundi ndani ya chama.Najua mmedhamiria kuwashughulikia wote waliowawekea mizengwe kwa njia zote,uhuni wenu wa kisiasa hautafanikiwa.itafikia mahala mtaungana mkagombee urais huko NCCR si mlishamtanguliza kafulila?jeuri yenu ya Elimu isitumike vibaya kulipa kisasi kwa wabaya wenu

Hebu tupe maelezo kidogo ya huyo anaeongelewa kwenye Blue
Hapo kwenye red hapana bishosti. Matusi ya nini?
Ben,
jiandae na jimbo lako,nimepata fununu unataka kugombea jimbo moja hapa dar es Salaam na kuna mbunge mmoja(CCM) jana kwenye vinywaji tu kasema anakuwekea mikakati.waache wanaoutaka urais au uenyekiti taifa waendeleee wewe jipange na jimbo lako.Achani uhuni,ushenzi wenu mnaofanya!Mwenzenu jeuri ya hela za madini ndizo anazotumia kukataa posho na kufadhili kwa hali na mali makundi ndani ya chama.Najua mmedhamiria kuwashughulikia wote waliowawekea mizengwe kwa njia zote,uhuni wenu wa kisiasa hautafanikiwa.itafikia mahala mtaungana mkagombee urais huko NCCR si mlishamtanguliza kafulila?jeuri yenu ya Elimu isitumike vibaya kulipa kisasi kwa wabaya wenu
ben,
Umeandika maelezo mazuri na msimamo wako umeweka wazi.hoja ulizoandika zinashawishi kwa kiasi kikubwa na zinaonekana ila inaonekana unatumia spinning na propaganda tamu sana unapokabilaina na adui zako.hofu yangu usijekuta ile kauli iliyokuwa inasemwa hapa JF kwamba wewe ni mtaalamu wa kulipa visasi kama Jk ina ukweli.Najua John Mrema aliungana katika kuwaengua kwenye uchaguzi.tafadhali usikubali kuwa kambi zao wanaotaka kuwania uenyekiti na urais 2015.mtaumiza wengi