John Mnyika

John Mnyika

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,555
Reaction score
57,850
3190951efb3a17f632268de732e0baab.jpg
 
Kamanda JJ Mnyika yuko Arusha Mahakama ya Africa Mashariki na John Mallya wakifungua kesi dhidi ya serikali kwa ubinywaji wa demokrasia nchini. Au unasemaje we kiraza?
Tuwe wote mpaka 2020 usije kimbia huu uzi
 
Siku akipewa uwenyekiti wa chama.

Mada kuu itakuwa UKIMYA WAKE UMEZAA UONGOZI.
 
Kamanda JJ Mnyika yuko Arusha Mahakama ya Africa Mashariki na John Mallya wakifungua kesi dhidi ya serikali kwa ubinywaji wa demokrasia nchini. Au unasemaje we kiraza?

Kesi ya ICC kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais wa Magufuli imefikia wapi?
 
Back
Top Bottom