Tunampongeza
HAHAHAHAHAAAAAna yeye akapige picha mbele ya chopa halafu akaombe ambulance used kwa wabongo walio jichokea. Na chris mlisha mtibua sasa sijui nani atawasafirishia bure hayo makopo yenu .
Mpeleke akanunue nguo bana.Vipi tumpeleke nae akapige picha na chopa?
Kujionea dunia ndugu yangu, yeye alikua anasikia kwa wenzake tu lakini sasa ni zamu yake.Tujuze amekuja kufanya nin huko?
na yeye akapige picha mbele ya chopa halafu akaombe ambulance used kwa wabongo walio jichokea. Na chris mlisha mtibua sasa sijui nani atawasafirishia bure hayo makopo yenu .
Aaah! oookeeeey!mkuu usiseme lukosi tulimtibua..no tulimtimua yaani tulimfukuza na kwa taarifa yako lukosi hatumi mizigo ya mtu au watu bure yeye mwenyewe ni mwajiriwa
Jamaa watampeleka primark akapate za bei poaMpeleke akanunue nguo bana.
na yeye akapige picha mbele ya chopa halafu akaombe ambulance used kwa wabongo walio jichokea. Na chris mlisha mtibua sasa sijui nani atawasafirishia bure hayo makopo yenu .
kwa hiyo jk kaona hiyo dunia mara ngapi?Kujionea dunia ndugu yangu, yeye alikua anasikia kwa wenzake tu lakini sasa ni zamu yake.
vip ya kupiga picha na rais wa fifa?Afadhali ya kupiga picha na chopa kuliko kupiga picha na 50 cent na Bechkham..chizi yupi hapo sasa?
Hivi kumbe john mnyika hakwenda JKT?