John Mnyika Kunguruma Musoma mjini Kesho.

John Mnyika Kunguruma Musoma mjini Kesho.

HabariChademamara

Senior Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
113
Reaction score
91
Kamanda John Mnyika naibu Katibu mkuu Chadema taifa siku ya kesho tafanya mkutano katika uwanja mkendo.muda kwanzia SAA 7 mchana.pia mida ya saa 3 asubuhi atafunguwa kikaoo cha mafunzo kwa viongozi wa Chadema Mkoa wa mara. Katika ukumbi wa MCC..
 
Aweke tu jimbo la ubungo Rehani yeye kiguu na njia .. A tusubiri October
 
Karibu mura Mnyika Mara. Tutakuwepo kwa wingi mkendo kukusikiliza. Peopleeeees!
 
Yes, unaeneza Chadema so achana na ACT and never talk about them. Chadema inajikita kwenye misingi ACT inasubiri Zitto Afanye mkutano mmoja tu kwenye mkoa apate wanachama wa kumwingiza ikulu
 
Bila kumung'unya maneno napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa chama cha ACT WAZALENDO kwa kuleta mapinduzi ya kisiasa yanayoviamsha vyama vingine vilivyokuwepo kwa muda mlefu vikiendesha siasa za mazoea na matukio. kwa sasa naona vikijipanga kimkakati.
 
Kamanda John Mnyika naibu Katibu mkuu Chadema taifa siku ya kesho tafanya mkutano katika uwanja mkendo.muda kwanzia SAA 7 mchana.pia mida ya saa 3 asubuhi atafunguwa kikaoo cha mafunzo kwa viongozi wa Chadema Mkoa wa mara. Katika ukumbi wa MCC..

Sisi, wapenzi act na wazelendo wa kweli tunamsubiria tu zito, mara wanaona kama act inaweza kuwa mwanga kwao
 
nan atamsikiliza habar ya mujin ; act wazalendo
wenzenu Walisha Vuka Matangazo Ya Chama Na Tayali Wanamtandao Nyinyi Chama Chenu Bado Cha Msimu Mkiondoka Mnaondoka Nacho Mkiludia Mikutano Mlikotoka Mtashangaa Watu Watapungua Mno Watu Wanataka Kusikia Mnasema Nini Kuhusu Chadema,mbona Kadi Hawazitaki?
 
Back
Top Bottom