John Mnyika, asante kwa utapeli huu

Tatizo sio mnyika ni ccm.. unaona bungeni upinzani akitoa hoja wanajidai kupiga kelele za kwao ni ndiooo..mambo ya zidumu fikira za mwenyekiti...sasa ni ccm basi ..tunataka wabunge waelewe wametumwa na wananchi na sio Ccm
 
kapiga hesabu kaona kibamba wachaga wengi watamuonea aibu kwa uongo wake.

Mwaka huu lazima mchanganyikiwe, hoja ya maji Mnyika kaisimamia vizuri sana, Maji yalikuwa hayatoki hata yale ya mgao lakini baada ya Mnyika tukaanza kuona maji siku ya jumanne, Alhamisi na Jumamosi, kabla ya Mnyika ilikuwa shida! Endekezeni siasa za maji ya mtaloni lakini Mnyika ni mbunge anasubiri kuapishwa.

Kada wa ccm tena rafiki yangu aliniambia juzi kati ya watu wanaoogopwa na ccm ni John Mnyika. Mtaangaika sana lakini Chadema hamuiwezi.
 

Kaka katika watu tuliyofanya maamuzi magumu kama Dk. na Prof. mimi ni mmoja wao kwa miongo mitatu mfululizo iliyopita nimekuwa mfuasi wa CDM na niliwaamini sana viongiz wangu ila mwaka huu... mwaka huu...
 
Ccm wameishiwa mpaka sera,ooo mnyika,oo ku benea,oo lowasa,nyie hamana yenu?
 
Kaka katika watu tuliyofanya maamuzi magumu kama Dk. na Prof. mimi ni mmoja wao kwa miongo mitatu mfululizo iliyopita nimekuwa mfuasi wa CDM na niliwaamini sana viongiz wangu ila mwaka huu... mwaka huu...

Masaki IT centre mmeamkaje
 
hebu kama mtu hajafanya chochote jimbon kwake kisa hodar wa kuongea bc na ni mpinzan bc!!!huyo anafaa!!!!kweli akil ya nyumbu kuwa mpinzani!!!!wakati wanaomba kula walisema c serikali!!!!mbunge ka kawaida nae ni diwani!!jimbon kwake hakuna mapato ya ndani kuwezesha huduma muhimu!!!!serikal inashughulikia milad mikubwa!!!kubenea hatoshi kwa masabur!!!!mnyika ni form six!!!chuo hakumaliza!!!ni tapel tapel!!!hata huko kibamba kaz kwake kuchomoka kurud mjengon
 
Wewe mleta uzi ni mburura kweli,Mnyika kakimbia jimbo kivipi,kwani Kibamba ilikuwa jimbo gani?
 

maswali kuntu hayo mkuu
 
Go Go Mnyika wish all the best katika harakati
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…