John Mnyika, asante kwa utapeli huu

Unashamulia 2 nitajie wabunge watano wa ccm ambao wamemzidi mnyika kiutendaji?
 
IT centre ni ajira ya kudumu kwa hawa Vijana wa UVCCM au?
 
Katika Wabunge ambao CCM ingetamani washindwe au wafe ni Mnyika, Lema, Lisu, Mdee, Msigwa, Wenje et al
 
Mbunge anaeleta Maji kweli au ndiyo maana.elimu ya uraia hair haitolewi ili CCM iendelee kutawala Wadanganyika
 
Hv ccm mnawafanya watanzania mazuzu sio, Mnyika amefanya kazi yke vzr sn lkn kwa makusudi magamba hamjatekeleza, mlitaka atoe hela yke mfukoni alete maji?.. Nyinyi mmeshindwa miaka 54 na kila kitu mnacho hamuombi hela kwa mtu, mlichoweza ni kupandisha Twiga ndege kwa hilo mmefaulu...
 
Two things are infinite: the universe and human stupidity; and I'm not sure about the universe. by Albert Einstein
 

Aende tena kufanya nini!? sisi tulikesha mabibo chuo cha usafirishaji kumsapoti leo hana la kutuambiaa! Masaburi oyeeeee!
 
Badala ya kulia na serikali ya ccm unalia na mnyika??

Kwanini aliahidi? au hawa wanaoahidi sasa kuna haja gani ya kuwachagua ikiwa wanaitupia lawama ccm!? bora kumpa mgombea wa ccm atatupa majawabu. Masaburi oyeeeee!
 
Nashangaa sana ccm..ilani yenu ndo mbovu...sana na kumbe mnakiri hamkufanya cha maana....
 
Unashamulia 2 nitajie wabunge watano wa ccm ambao wamemzidi mnyika kiutendaji?

Zaidi ya porojo mnyika hana lolote,ndani ya siku 100 tatizo la moji ubungo litakua historia,leo anaona suluhu ni kukimbilia kibamba
 

Mbunge wa jimbo la kibamba alikokimbilia Mnyika alikuwa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…