Katika wabunge ambao wanajigamba wana solution ya matatizo ya wananchi wao majimboni ni huyu kamanda.
Kamanda umetuangusha sana nadhani ndio maana umekimbia jimbo kwa madai eti unamwachia Kubenea. Wananchi wako uliwaahidi ndani ya siku 100 utakuwa umetatua tatizo hilo. Hivi katika kipindi chako cha miaka 10 umefanya nini hasa cha maana. Yaani mnakera sana kwa kuahidi mambo hewa kwa sababu yanarudisha nyuma imani kwa wananchi. Wananchi wapo kwwnye vyombo vya habari saizi wanalalamika nyinyi mnatesa tu mitaano. Bwana Kubenea ameamua kubeba mfupa uliomshinda Mnyika ndie atatutia aibu mara mia. Ni kheri ata asingegombea kwa sababu kama Mnyika na ujanja wote kasepa kiaina huyu Kubenea atawezaje.ujinga mtupu mnaudhi

naomba msaada hapo tafadhali
Kama hata hujui kipindi alichokaa Mnyika bungeni, hauwezi kujua mambo aliyoyafanya !
Wananchi wa ubungo (nikiwemo na mimi) ndio tuliompeleka Mnyika bungeni, ninaamini kwa wale wa kibamba watamrudisha tena bungeni.... Na sisi wengine tuliobaki Ubunge tutampeleka Kubenea bungeni.....
October 25 sio mbali, tuvute subira !
Kama unakaa ubungo yooote labda kweli lakini kama unakaa ubungo msewe alafu unawajibia na wengine wa maeneo mengine basi hujitambui. Nakwambia safari hii ni aibuuu.. si Mnyika wala Kubenea atakayepita. Ni aibuuuuKama hata hujui kipindi alichokaa Mnyika bungeni, hauwezi kujua mambo aliyoyafanya !
Wananchi wa ubungo (nikiwemo na mimi) ndio tuliompeleka Mnyika bungeni, ninaamini kwa wale wa kibamba watamrudisha tena bungeni.... Na sisi wengine tuliobaki Ubunge tutampeleka Kubenea bungeni.....
October 25 sio mbali, tuvute subira !
Badala ya kulia na serikali ya ccm unalia na mnyika??
mkuu, mi nadhani alikuwa anamaanisha kikwete na si mnyika maana kikwete ndo kakaa madarakani miaka kumi. kwa hiyo hzo lawama ni za kikwete na si mnyika.naomba msaada hapo tafadhali