Nilishawahi kutoa ufafanuzi humu namna encryption na decription inavyofanya kazi.Nna last version ya whatsApp ila bado sijajua hii kitu inafanyaje kazi...
Kila nnaemuuliza ni mapichapicha tu....
Msaada pliz
Inategemea na algorithm gani imetumika for encryption, zipo algorithms impossible to crack.....The point ni system security ya sender and receiever ndo will determine kama chatting yenu ni secure au laah......Kwa dharau kwamba atawafanyia bure..sidhani kama ni kweli au vitisho
ila encrypted ya whatsapp ipo siku kuna wahuni wataichokonoa tuu
Unatisha bro!!Nilishawahi kutoa ufafanuzi humu namna encryption na decription inavyofanya kazi.
Let say mtu A na B wanachati kwa whatsapp. Basi wote hao wawili kila mmoja ana key ya kufungua msg za mwenzake.
Na key ni kati ya watu wawili, akiongezeka mwingine anapewa key yake.
Sasa mfano:
Mimi nachati na wewe na key yangu kwako ni 1.
Hivyo wewe una key yangu ya 1.
Nikiandika neno HABARI , kwako linakuja kama JBCBSJ hivyo wewe unatumia ile key ya 1 kung'amua hilo neno.
Na wewe unanipa key yako , let say 3 ambayo nitaitumia kung'amua msg zako
Umejuaje Kama Ni bro?.Unatisha bro!!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji115]magwiji wa teknolojia...
wengine ukikuta mtu kasahau ku logout kwenye acc yake na ukasoma meseji zake 'facebook ' basi unajiita hacker..
mkuu umeongea vyema na kitaalamu zaidiInategemea na algorithm gani imetumika for encryption, zipo algorithms impossible to crack.....The point ni system security ya sender and receiever ndo will determine kama chatting yenu ni secure au laah......
"Simply speaking, you couldn't guarantee that a chat was private unless you knew that everyone was running a safe operating system."