John Mashaka wa ukweeee

Amezoeleka kwa nick name yake ya Mzee Mwanakijiji

-heshima mbele mkuu ila hao watu wawili ni tofauti. MM Mwanakijiji ni Mwandishi wa habari. yohana mashaka ni mchumi wa huko waltreet marekani. ila wote wawili ni vipanga maarufu. ukisikiza bbc mara nyingi utamsikia mashaka akitoa uchambuzi wa mambo ya uchumi
 
Amezoeleka kwa nick name yake ya Mzee Mwanakijiji

huyo mwanakijiji ni tamaa ya madaraka tu. akishinda ubunge nampeleka u-turn ali atukanwe vizuri. huko ndo kuna viboko yake, mitambo ya kurekebisha tabia. wanawake lazima tuchukue nchi yetu. alafu mbona kama nilimuona huyu mkaka kwenye vintage sale ya mwamvita au ilikuwa ni macho yangu?
 

keshaoa kweli huyu mtu? kwa maana wakurya balaa kwa wanawake 10. kijana miaka 22 ana miji miwili na watoto 9
 
Nothing goes for nothing
 
Katika maandiko matakatifu (Bible/Quran) tunaelekezwa kwamba unapotoa msaada au sadaka anayetakiwa kujua kwa dhati ni Muumba wako tu na wala siyo press or blogs or JF or anything of that nature...

Ukiona mtu anatoa msaada halafu anataka aonekana kuwa ametoa msaada, fahamu fika kuwa kuna jambo lingine tofauti analohitaji nyuma ya huo msaaada na siyo kwamba ana roho nzuri...
 

huyu kaka si ndo yule aloandika tribute ya kanumba? namkubali. huyu kijana kiboko, jinias kusema kweli. mungu atupe watu kama hawa 10 tu nchi yetu itaendelea sana
 

Michele we Kiboko......unawachana vijana wa H-Town wanaotikisa Jiji la Darisalama. Hongera mashaka. Usibadilike ukaingiwa na roho ya ubinafsi na majigambo kwa maana wapo walopewa kidogo tu wanaanza keleleeee weeeeeeee hadi CL zinchanika....lol
 
Tuendelee kumjadili John Mashaka ni kama vile nimesikia anetajwa kama coordinator wa kumlink mhe. Rais na hii film ya royal tour Mzee Mwanakijiji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…