John Mashaka wa ukweeee


hahahahha kwa hio wewe una shida kwa kuwa,anataka ubunge kwa kutoa misaada kwa jamii yake??? hao wabunge wenu ambao hawakutoa misaada,ndio wanatetea maslahi yenu eeh??? embu wataje kwa majina yao tuwaone walipotetea maslahi yenu????nimekuuliza mtu mwenye interest za watu at heart mpaka kufikia kutoa misaada out of his pocket atashindwa kutetea maslahi ya watu???nijibu kwanza...hayo ya thawabu kwa mungu unayajua wewe,wale mafisadi mnayoiita serikali ndio yanapata thawabu??? mnh
 
Hongera John Mashaka, Mungu akubariki kusaidia wahitaji. Kwa lengo lolote ulilonalo, Mungu anayeweza kuona sirini akujibu sawasawa na mapenzi yake kwako. Nimefurahi kuona kijana badala ya kutafuta sifa za kijinga bar na kumalizia hela kwa malaya,unawakumbuka wahitaji.
 
John mashaka wewe uko exposed sana hadi siasa za nje ya tanznaia unazijua.hivi kweli wewe leo ni wa kutoa misaaada ya juisi za 150 ili upate cheap popularity ?haaa bwana ebu fanya kwa utofauti kidogo bwana ubunge upo ongea na kina mnyika wakupe darsa how to do it .wewe sio wa ukweeeeeee umejihaibisha kwa post hiyo kwani najua ni ridhaa yako utolewe humu jamii forum.asante kwa kutuonyesha udhaifu wako
 
You can help or volunteer without a need to spread your photos to the media if you really do it from your heart.
 


cheap popularity for what,mbona yeye ni famous tayari.........unless umesikia kwa mdomo wake mwenyewe kuwa anataka ubunge,acha kumzushia kaka wa watu....mnasema juisi za 150 mbona hatuwaoni hata kutoa za shilingi kumi...........ingia/google john mashaka foundation uone mwenzio he is doing it be it for ubunge or not but he is doing it.....hamuwezi kuliziba jua na ungo au mwaweza atiii?? hahahah wa ukweeeeeeeeeeeeeeeeee.....
 
kama alifanya charity work kweli kwa nia njema, what is the reason for publicizing it? so it means it might be one way of requesting publicity and fame, kama ni kweli sioni haja ya kuifanya iwe mtandaoni for what reasons??????

so ni sawa watu wakihisi kuna kitu anatafuta..... si mhukumu ila ni wasiwasi wangu juu ya mhusika kuruhusu publication ya yeye kufanya charity work
 
that baby on his lap........daaaah!!!!😛oa
 
Umejuaje kama ana za kutosha kutumia kote kote?

Watu wengine bana, kama umeenda kutoa kwa moyo mipicha na attention za nini?

Hivi kumbe kuna wenye kuwaza na wenye kuwaziwa...?lol
 
This guy is a joker just like any other jokers i know, i wonder why all the screaming, grinning & shouting is all about. Kama katoa misaada for whatever reason it might be, good for him, at least he has done something tangible rather sitting and hiding behind ur office's PC while bitchin and farting at the same time.
 

RA unafikiri alifuata posho ?
 
Umejuaje kama ana za kutosha kutumia kote kote?

Watu wengine bana, kama umeenda kutoa kwa moyo mipicha na attention za nini?

Hivi kumbe kuna wenye kuwaza na wenye kuwaziwa...?lol

Kama anazo za kuweza kutumia kote kote sina tatizo, mradi amewakumbuka na wahitaji.....!!

Weza anatafuta attention au hana moyo,hainihusu,furaha yangu ni kuona kijana anatoa msaada.

Tuige mfano mzuri wa kutoa kwa wahitaji.
 

Ahem....That's what am talking about....!!
 
Weupe ndio uzuri?

Kama sio weupe wake (ukifafanisha na wote wengine walikaa hapo), sio sababu iliyokufanya uandike katoto kazuri, basi eleza nini ilikuwa maana yako kusemea uzuri kwa kuona picha tu. Kwani hata mimi naamini weupe wa ngozi sio sifa pekee ya kuitwa mzuri.
 
Who is this chap?

Huyu jamaa ni investment banker wells fargo huko newyork. Nadhani naye ni fisadi. Mashaka alimchangia mbunge fulani wa ccm $40,000 we hizi hela alitowa wapi kama siyo fisadi chipukizi ? ukishaingia ccm na wewe ni gamba (fisadi) hauna cha mashaka wala cha nini. wote ccm wananuka.
 

mkuu hawa watu wanalipwa hela nyingi sana.
nimepata data, kima cha chini hawa wanachota kama $350,000 kwa mwaka
hapo bado kuna kitu kinaitwa bonuss. kwa hiyo sidhani ataacha kazi zake kwenda kwenye ubunge?
kama ni hivyo kwa nini ajiingize kwenye siasa za maji taka au ndo anataka kuwa kama RA??
watanzania hatudanganyiki tena
 

mie hata simujui huyo ndiye nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…