Mtu wa Kigamboni
Member
- Jul 24, 2015
- 80
- 38
Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini amenikosha akasema "Katika kata zote zinazozunguka Jimbo la Geita Mjini hakuna Umeme wa REA"!!! Umeme wa REA pia inahusika Mjini?
Kakulia Uswazi huyo Kanyasu aka BingwaMbunge wa Jimbo la Geita Mjini amenikosha akasema "Katika kata zote zinazozunguka Jimbo la Geita Mjini hakuna Umeme wa REA"!!! Umeme wa REA pia inahusika Mjini?
Uswazi wapi Mtoto wa kishua huyo...mboga sabaKakulia Uswazi huyo Kanyasu aka Bingwa
Unamfahamu baada ya kumuona Mwanza mjini - uliza sisi wenyeji wa Sengerema kijanaUswazi wapi Mtoto wa kishua huyo...mboga saba
umepatia mkuu ... sisiemu hawajui kujipanga kwenye kupresent ishuNi mbunge wa fisiem nini?Kama ni wa hicho chama unategemea nini hasa.
Uzi wa upendo peneza kwa umefutwa umebaki wa kanyasu?
Mimi siyo mbunge wa kukurupuka, ninasema ninachokijua na nilichofanyia utafiti, unaweza kwenda REA website utakuta maeneo yao ya kazi. Wanaosema kanyasu mtu mitaaan wanichunguze upya nawapa muda.
- Nimesoma comments za wadau kuhusu kanyasu Mbunge wa Geita, kwanza niwashagae wote mnaoendekeza vijenbe bila kujua , Jimbo la Geita mjini lina kata 13 kama ifuatavyo kalangalala
- Mtakuja
- Bombambili
- Nyankumbu
- Buhalahala
- Kasamwa
- Bung'wagoko
- Bulela
- Shiloleli
- Nyanguku
- Ihanamilo
- Mgusu
- KanyalaUkiiondoa kalangalala kata zote zingine zimo kwenye REA , zilipangwa awamu ya pili lakin hazikufanyiwa kazi sasa zimepangwa awamu ya tatu. Kwa nini ziko REA sasa? Ni kwa kuwa kata hizi haziko mjini bali ni kata za jimbo la Geita mjini.