Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,060
apo umenenaKama unayosema kweli kuhusu mnyika, atoke hadharani ahoji ukomo wa mwenyekiti chadema
Hapo ndio utaelewa HAKUNA kitu
Hivi mitano tena bado inaendeleaππKama unayosema kweli kuhusu mnyika, atoke hadharani ahoji ukomo wa mwenyekiti chadema
Hapo ndio utaelewa HAKUNA kitu
Unauliza haya kama nani? Tuacheni mambo ya kuudhi wakati huu wa msiba.Kama unayosema kweli kuhusu mnyika, atoke hadharani ahoji ukomo wa mwenyekiti chadema
Hapo ndio utaelewa HAKUNA kitu
Sema Kina Moshi .....maana kuna watu wakisikia wenzao hao wako allergicShida ni watu waliomzunguka hasa kina shimo
Ngoja tumpigie Deo yule mbungeHivi mitano tena bado inaendeleaππ
Ili mbowe aondoke madarakani ccm ibadilishe utaratibu wao kikatiba mwenyekiti wa ccm taifa lazima awe rais, hivo ili ujadili ukomo wamwenyekiti mbowe basi angalia pia ukomo wamwenyekiti wa ccm.tafakari hiloKama unayosema kweli kuhusu mnyika, atoke hadharani ahoji ukomo wa mwenyekiti chadema
Hapo ndio utaelewa HAKUNA kitu
Kisa langu hapo ni kutoa maoni? Kama mnyika ni kiongozi mzuri aende kuhoji ukomo wa mwenyekiti, huo ndio mitihani wake wa kwanzaUnauliza haya kama nani? Tuacheni mambo ya kuudhi wakati huu wa msiba.
Sauh'waaa!
Ccm mbona ipp wazi? HAKUNA mwenyekiti aliyezidi miaka 10Ili mbowe aondoke madarakani ccm ibadilishe utaratibu wao kikatiba mwenyekiti wa ccm taifa lazima awe rais, hivo ili ujadili ukomo wamwenyekiti mbowe basi angalia pia ukomo wamwenyekiti wa ccm.tafakari hilo
Tundu likiongezeka huwa shimo mkuu auShida ni watu waliomzunguka hasa kina shimo
Ukomo wa mwenyekiti ccm uliisha jana. Unataka ukomo upi tena.Kama unayosema kweli kuhusu mnyika, atoke hadharani ahoji ukomo wa mwenyekiti chadema
Hapo ndio utaelewa HAKUNA kitu