GE2025 John Heche: Hatujafanya mazungumzo na mtu yeyote ili tuachiwe huru

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Wegesa Heche amesema yeye na viongozi wote hawakuachiwa kwa makubaliano maalum wala hakuna mazungumzo waliyofanya wakati alipokamatwa kama ambavyo imekuwa ikidaiwa.

Heche ameyasema hayo leo Novemba 11, 2025 baada ya kutoka kuripoti katika Kituo cha Polisi Kati (Central) Dar Es Salaam.

"Kama tulivyokamatwa ndivyo tulivyoachiwa hakuna mazungumzo na yoyote tuliyofanya na mtu yoyote" amesema Heche.

Heche aliripoti kituoni hapo akiambatana na Wakili Hekima Mwasipu pamoja pamoja na viongozi wengine wa chama hicho ambao walitakiwa kuripoti akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa chama Bara Amani Golugwa, Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface Jacob na Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema.

Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara John Wegesa Heche amesema yeye na viongozi wowote hawakuachiwa kwa makubaliano maalum wala hakuna mazungumzo waliyofanya wakati alipokamatwa kama ambavyo imekuwa ikidaiwa.

"kama tulivyokamatwa ndivyo tulivyoachiwa hakuna mazungumzo na yoyote tuliyofanya na mtu yoyote" amesema Heche.

View attachment 3500207
POLE KAMANDA
 
Orodha ya wabaya wa watanzania. Wanaotakiwa kufanyiwa jambo kama walilofanyiwa vijana wa kitanzania kumiminiwa risasi.
1.Samia
2.Wamnira
3.Hamza Johari
4.
5.
6.
7.
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
18
19
20
Ongezea orodha.
 
Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Wegesa Heche amesema yeye na viongozi wote hawakuachiwa kwa makubaliano maalum wala hakuna mazungumzo waliyofanya wakati alipokamatwa kama ambavyo imekuwa ikidaiwa.

Heche ameyasema hayo leo Novemba 11, 2025 baada ya kutoka kuripoti katika Kituo cha Polisi Kati (Central) Dar Es Salaam.

"Kama tulivyokamatwa ndivyo tulivyoachiwa hakuna mazungumzo na yoyote tuliyofanya na mtu yoyote" amesema Heche.

Heche aliripoti kituoni hapo akiambatana na Wakili Hekima Mwasipu pamoja pamoja na viongozi wengine wa chama hicho ambao walitakiwa kuripoti akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa chama Bara Amani Golugwa, Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface Jacob na Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema.

11 November 2025

JOHN W. HECHE : HATUNA MAKUBALIANO NA YEYOTE, TULUVYOKAMATWA NDIVYO TULUVYOACHIWA

View: https://m.youtube.com/watch?v=JuUgyaYOjQU

Kwa umma wa waTanzania nilikuwa ndani kwa siku 21, hivyo sikufahamu kilichokuwa kinaendelea huku uraiani asema makamu mwenyekiti John W. Heche

Ni jana tu ndiyo nimepewa taarifa kuhusu kilichoendelea huku uraiani, hivyo natoa pole sana kwa walioumizwa na waliopoteza ndugu zao anaongeza John Heche

Kuachiwa kwetu hakuna maana kuwa kuna muafaka au mazungumzo baina yetu na watawala kama wanavyoeneza propaganda baada ya sisi kuachiwa kwa dhamana asisitiza makamu mwenyekiti John Heche ..
 
Msije mkatungusha kama chadema ya mbowe. Umma wot wa watanzania upo nyuma yenu.
 
Samia ni mseng.e
Tatizo sio Samia bali ni mfumo.
Yalikuwepo hayo wakati wa Mkapa, Kikwete na hata Magufuli.
Sijui kwa nini vijana mnataka kuzima data zetu utafikiri mnayemlaumu ni Rais toka chama tofauti na watangulizi wake.
 
Samia sasa kabaki na kutapatapa tu hajui afanye nini? Ulaghai una ukomo wake.
 
Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara John Wegesa Heche amesema yeye na viongozi wowote hawakuachiwa kwa makubaliano maalum wala hakuna mazungumzo waliyofanya wakati alipokamatwa kama ambavyo imekuwa ikidaiwa.

Heche ameyasema hayo leo Novemba 11, 2025 baada ya kutoka kuripoti katika Kituo cha Polisi Kati (Central) Dar Es Salaam.

"kama tulivyokamatwa ndivyo tulivyoachiwa hakuna mazungumzo na yoyote tuliyofanya na mtu yoyote" amesema Heche.

Heche aliripoti kituoni hapo akiambatana na Wakili Hekima Mwasipu pamoja pamoja na viongozi wengine wa chama hicho ambao walitakiwa kuripoti akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa chama Bara Amani Golugwa, Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface Jacob na Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema.
Duh chuma kimetoka Cha moto vile vile 🔥🔥🔥
Mwenye haki ni jasri kama simba
 
Back
Top Bottom