GE2025 John Heche: Hapa Jela kwangu ni kama wananipaka manukato tu, sitarudi nyuma kwa makosa ya kutungiwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
638
Reaction score
1,771
Ameandika Twaha Mwaipaya kupitia mitandao yake ya kijamii

Hechee.jpg
Wambieni watu wetu
Mimi inajulikana kwa Mungu na malaika sina ubaya na nchi yangu naipenda Sana !
Kosa langu hata sasa ni kukataa kuwa msaliti wa mageuzi ili sote katika nchi tuishi utawala wa sheria na kulinda rasilimali zetu , ,
Hapa Jela kwangu ni kama wananipaka manukato Tu sitarudi nyuma kwa makosa ya kutungiwa
Wasiogope na kusononeka wakituona tunateswa
Mungu Yuko upande Wetu
Na vita nimemkabidhi yeye
Ushindi NI wake yeye
John Heche makamu mwenyekiti wa CHADEMA jela mtumba Dodoma

Siku ya tatu 26 Oct 2025

Pia soma
 
Naam haya nimeno mazito sana
 
Kwa hali ukisikia kuna kibanda cha mbwa kimechomwa mahali fulani na watu wasiojulikana, lazima utafurahi tu.
 
Ameandika Twaha Mwaipaya kupitia mitandao yake ya kijamii

Wambieni watu wetu
Mimi inajulikana kwa Mungu na malaika sina ubaya na nchi yangu naipenda Sana !
Kosa langu hata sasa ni kukataa kuwa msaliti wa mageuzi ili sote katika nchi tuishi utawala wa sheria na kulinda rasilimali zetu , ,
Hapa Jela kwangu ni kama wananipaka manukato Tu sitarudi nyuma kwa makosa ya kutungiwa
Wasiogope na kusononeka wakituona tunateswa
Mungu Yuko upande Wetu
Na vita nimemkabidhi yeye
Ushindi NI wake yeye
John Heche makamu mwenyekiti wa CHADEMA jela mtumba Dodoma

Siku ya tatu 26 Oct 2025

Pia soma
Once a Hero always as hero.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom