Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 2,913 Reaction score 6,505 Oct 10, 2025 #1 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara John Heche akieleza namna chama hicho 'kilivyoapa' na kupinga matukio ya utakaji na watu kutoweka kwenye mazingira tatanishi, akitoa wito kwa Watanzania kutambua thamani ya binadamu wenzao Your browser is not able to display this video.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara John Heche akieleza namna chama hicho 'kilivyoapa' na kupinga matukio ya utakaji na watu kutoweka kwenye mazingira tatanishi, akitoa wito kwa Watanzania kutambua thamani ya binadamu wenzao Your browser is not able to display this video.
Papizo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 5,250 Reaction score 2,162 Oct 10, 2025 #2 Wanafahamu alipo Pole Pole wanajuwa kila kitu...Ndio maana kila mahali wamekaza sauti wanajuwa hawa jamaa...
Wanafahamu alipo Pole Pole wanajuwa kila kitu...Ndio maana kila mahali wamekaza sauti wanajuwa hawa jamaa...