John Heche amtumia Ujumbe wa wazi Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

Madai yake yanamashiko na yatafanyiwa kazi lakini asidai kibabe
 
Hivi Kumbe Chadema bado ipo?
unadhan wewe ngiri na chawa utajua uwepo wa chadema wanaojua uwepo wake wamemfunga mwnyekiti wa chadema, wamezuia shughuri za ksiasa za chadema, wamezuia mpk mali za chama kama haipo hayo yote yann, kama haipo kwann majizi maccm makuu yanajaribu kuwasngzia chadema khs maandamano kama ccm mnajiamin weken ball kati hata sasa ila waangaliz na waamuz watoke nje ya nchi kilaza samuya na lissu tena lissu asfanye kampen awepo tu around halafu maccm mfanye kampen halafu watanganyika wapge kura tuone sasa. Jiwe kasepa kaiacha chadema, chura kiziwi hangaya naye atasepa jehanamu ataiacha chadema, ccm imekufa imeiacha chadema.
 
HApa Heche anazungumza mambo ambayo Mwigulu hawezi kuyajibia kwa sababu ni ukweli mtupu. Wakishindwa kujibu ndiyo wanaenda kuwatafuta wale mashekhe bandia waje kuzungumzia dini ya Heche.

Kwa kweli chama cha kigaidi CCM kinatakiwa kufutwa kwa sababu kinaifanya nchi iongozwe na maharamia yasiyo na akili wakati nchi ina watu wengi wenye akili, wakweli na wenye uadilifu.

Mungu azidi kuwalinda watu kama Heche na Lisu, maana wameamua kujitoa sadaka kwaajili ya watanganyika.
Ukweli ni kwamba hata ufanye mazuri gani kama ni muuaji, wewe ni shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…