John Heche aliwataka wananchi kuzuia shuguli za ACACIA nimchochezi Msukuma amezuia shuguli za GGM mzalendo

John Heche aliwataka wananchi kuzuia shughuli za ACACIA North Mara akaitwa "mchochezi", MUSUKUMA amezuia shughuli za GGM anaitwa "mzalendo"

View attachment 588151
Mi sishangai hili,
Wabunge na viongozi wa UKAWA hawaruhusiwi kuhutubia Mikutano ya Kisiasa nje ya maeneo wanakotoka wakati Humphrey Polepole na Shaka Hamidu wa UVCCM wanahutbia popote watakapo nchi hii na hakuna wa kuwafanya lolote.
 
Aiseee huyu jitu anayeongoza nchi yetu Sasa hivi Ni mbaguzi sana sijui lengo lake Ni nini!
 
Uwasilishaji wa Ujumbe wa hawa wawili ni tofauti..mmoja alisema wavae na kupiga
 
Yaani nchi tunaipeleka vibaya aisee. Mpaka GGM mnaisomesha namba??!

Ukitaka kujua kuwa tuendako siko, angalia hizi dalili;

- mabango ya matangazo siku hizi hayatangazi chochote, labda tu "we made you look here"
- zamani kwanye ajira, kulikua na matangazo ya kazi za maana kama metallurgical engineer, mine geologist, health and safety manager etc. Siku hizi ni matangazo ya NGO zinazofadhiliwa na mataifa ya nje
- zamani kupata nyumba masaki ilikuwa mbinde, siku hizi hazina wapangaji
- yale maghorofa mazuri zuri yaliyojengwa, yotee empty
 
Mi sishangai hili,
Wabunge na viongozi wa UKAWA hawaruhusiwi kuhutubia Mikutano ya Kisiasa nje ya maeneo wanakotoka wakati Humphrey Polepole na Shaka Hamidu wa UVCCM wanahutbia popote watakapo nchi hii na hakuna wa kuwafanya lolote.
Nashauri popote pale polepole atakakosimama kuhutubia atandikwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…