SPANISH CP
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 465
- 230
Maldini kabeba ndoo 5 za ulaya...
But hakuna msimu aling'ang'ania kombe na kuacha kumpa Riijkard, Ancelotti, Baresi, Van Barstern, Masaro, costacurta, Nesta, Pirlo, Pippo, Rui Costa, Cafu, Seedorf, Gatuso, Sheva na Dida...koh koh niendelee?
CC: juve2012 mourinho obwato gutierez alleyn
Wewe ni team captain wa Azam Fc nilikushangaa sana jana ulipokabidhiwa kombe ukaling'ang'ania utadhani lako hata wachezaji wenzako hutaki walibebe mpaka wakupore ndo uwape,jifunze kwa kuona wenzetu huko Ulaya wanafanyaje.
Tatizo kapewa misifa sana kuwa kaitoa hiyo timu mbali sana...ndio maana anaona kama kombe lake, kikombe kitu gani bwana hata kwa mama muuza kinapatikana
Tatizo kapewa misifa sana kuwa kaitoa hiyo timu mbali sana...ndio maana anaona kama kombe lake, kikombe kitu gani bwana hata kwa mama muuza kinapatikana
Ndio mara ya Kwanza msimlaumu sana. Labda hata gerald anaweza kufanya hivyo liva wakichukua ndoo ya epl.
umepotea njia nenda jukwaa la MMU huku hakuna mambo hayo mjomba.Tusimlaumu ni mara yake ya kwanza kuchukua VPL. hata wewe siku ya kwanza kuuuuuuu................. uling'ang'ania juu.