juvenile davis JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 4,752 Reaction score 4,480 Jul 2, 2017 #41 Huyo jamaa mbona bado mshamba sana tu? We mtu gani anamuiga Jay z kurap,anaiga hadi kuongea ,fuatilia interview za Jigga na za huyo Joh ..huo nao ni ushamba tena uliopindukia,anatamani angekuwa yeye ni Jigga,washamba tu
Huyo jamaa mbona bado mshamba sana tu? We mtu gani anamuiga Jay z kurap,anaiga hadi kuongea ,fuatilia interview za Jigga na za huyo Joh ..huo nao ni ushamba tena uliopindukia,anatamani angekuwa yeye ni Jigga,washamba tu
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,636 Reaction score 112,464 Jul 2, 2017 #42 Huyo joh makini, mbona suruali yake imechanika na kuchakaa kuliko kiwango cha kawaida....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Huyo joh makini, mbona suruali yake imechanika na kuchakaa kuliko kiwango cha kawaida....[emoji45] [emoji45] [emoji45]