Joh Makini kuanzisha Lebo kama ilivyo kwa WCB

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
643
844
Rapa mkali kutoka Weusi Joh Makini amewachana wanaoanzisha label hapa nchini kuwa wengi wao hawajui vigezo vya kumiliki label na badala yake wanazitumia label kama kiki katika muziki wao.

Maneno hayo ameyasema katika kipindi cha enewz.

Binafsi naona kabisa Dongo hili limelengwa kwa Alikiba coz nae ametangaza kuwa "eti" alikuwa na LEBO yake lakini alikuwa hapendi kuitangaza. mweeh..!

Hata hivyo Joh Makin amesema wapo katika mpango wa kuanzisha LEBO yao ya weusi ila hii yao itakuwa tofauti coz hawatajipiga promo kwamba wanasaidia Wasanii.

Baada ya Mafanikio makubwa waliyoyapata WCB kwa LEBO yao basi natabiri kuanza kurundikana kwa MALEBO kibao Bongo.
Nawasilisha
[HASHTAG]#mckonjetv[/HASHTAG]
 
Waanzishe tu,ila wakumbuke kuwa hata VITZ ni gari,ila HAINA THAMANI SAWA NA ROLLS ROYCE PHANTOM.
 
Nasikia Shilole nae yuko mbioni kuanzisha Lebel yake.
 
Mleta mada ameandika uongo,
Nimeyaona hayo mahojiano Johmakini amesema wao hawana mpango wa kuanzisha lebo kwakuwa bado hawaamini kama wataweza kuwatimizia wasanii watakaokuwa wamewasaini kwakuwa yeye Johmakini na weusi wanaamini lebo sio studio tu kurekodi kama wengi wanavyowafanyia wasanii wa kwenye lebo zao pia amesema siku hizi anaona Tz hizi lebo kama kiki tu coz nyingi hazijakidhi hadhi ya kuitwa lebo.

Pia akasema wao kama weusi hawajafikiria kuwa na lebo yao ila ikifika mahali wakahitaji kuwa na lebo yao watahakikisha inakua ni lebo kisawa-sawa inayokidhi maana ya kuitwa lebo.
 
Nakumbuka ShadyAftermath ilivyomsaini 50cent walimnunulia saa ya dola laki 5 na mpunga wa kutosha ila lebo za Bongo ni kurekodi tu,hakuna malipo ya kila mwezi kama mshahara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom