Heri ya pasaka wana JF
Leo katika pitapita nimekutana na mjadala uliokuwa unawaelezea wakali wa miondoko ya kufoka(hip hop) wa hapa TZ kati ya Joh makini na Fid q,toa maoni yako nani ni mkali zaidi katika uandishi wa mashairi na kuimba
Usiangalie kunenepa mashavu broo kipato chao hao watu wala hawatofautiani na ukiangalia hasle za joo miaka yote hyo bado hakuweza kuatain influence ya kukaa kimya kama fid na watu bado wakawa wanamuelewa.

Joh makin na fid q wote n wakal kwenye hip hop ila wanafanya mziki tofauti hivyo kaz kuwafananisha.. Fid q anaandika sana mistar migumu(sikiliza roho uone ilvo ngumu) joh makin ana mistar milain afu ana flow vizur