Bad enough elimu ya Tanzania inamwamwandaa mhitimu kuajiriwa! Hivi huu muda uliotumia kubuni wazo hili la kuandaa kijikundi cha kiharakati cha kuizodoa serikali kwa kushindwa kutoa ajira haingewezekana kukaa na kubuni wazo ambalo mkiunganisha nguvu kwa namna hii hii mngeza kujiajiri na kuwashawishi na walio na ajira rasmi serikalini wakaacha ajira hizo na kujiunga nanyi?