Job vacancy for HR Assistant

BLASIUS MAYALA

New Member
Jul 10, 2019
0
3
POSITION IDENTIFICATION
Job TitleHR AssistantReports toHR Business Partner
Job Code DepartmentHR & Admin
LocationDar es SalaamDate

GENERAL PURPOSE OF POSITION
  • Support all internal and external HR related inquiries or requests.
  • Maintain digital and electronic records of employees.
  • Assist with the recruitment process by identifying candidates, performing reference checks and issuing employment contracts.
  • Setting appointments and arranging meetings
  • Maintaining current HR files and databases
  • Compiling reports and spreadsheets and preparing spreadsheets
  • Oversee the completion of compensation and benefit documentation.
  • Schedule meetings, interviews, HR events and maintain agendas.
  • Coordinate training sessions and seminars.
  • Attendance and Leaves monitoring.
  • Assist in recruitment and hiring activities like posting of job adverts, creating and maintaining of database of CVs, filtering out CVs, scheduling screening interviews, job offers, employment contract, etc.
  • Assist HR Business Partner in any other assignment/work as may be assigned to him/her
KEY RESPONSIBILITIES
The HR assistant duties involve a wide range of support activities inside our HR department, from coordinating meetings to maintaining our employee database to posting job ads. An important part of the role will be to act as the liaison between HR and employees, ensuring smooth communication.

Fresh or Up to 3 years
EXPERIENCE
EDUCATION
Diploma in HR
SKILLS
  • Communication
  • Attention to detail
  • Result Oriented
  • Computer literate with capability in email, MS Office and related business and communication tools
HOW TO APPLY: Please apply by sending your CV through tzcareers@gmail.com
 
Mie niwaambie Kama unakidhi vigezo tajwa hapo juu omba hyo Kaz subiri uitwe kwenye usaili ukiombwa rushwa yoyote lete mrejesho na hapa wa evidence tujue ukwel
 
Ushaona wap recruitment agency inataja kampun ya mwajiri.

Tatizo la vijana watanzania wabishi, wajuaji, hawana wasilolijua mtabaki kutaabika bila kujua mlango wa kutoa maisha
Nisamehe mkuu!
Sina vigego kutafunia vinono unavyokusudia.

Lakini kuna member yupo mwanza anaomba msaada wa kurudi mbeya/iringa kwa kufuata vitangazo kama hivi.

Nisamehe mkuu wangu.
 
Nisamehe mkuu!
Sina vigego kutafunia vinono unavyokusudia.

Lakini kuna member yupo mwanza anaomba msaada wa kurudi mbeya/iringa kwa kufuata vitangazo kama hivi.

Nisamehe mkuu wangu.

Kuna inshu Moja hapa nikueleze naona nawe Kuna inshu ndogo ya uelewa na kupima Jambo inakutatiza kidogo

1. Huyo mtu aliitwa kufanya interview au kufanya kazi (Kama n interview alipaswa kuwa na nauli ya kwenda na kurudi pamoja na malazi kwasiku atakazokaa huko japo Kuna kampun huwa zinakurudishia gharama nakama haurudishiwi gharama n wajibu wako kujua na kupata fedha za kujikidhi na kujikimu kipindi Cha usaili, Kama aliitwa kazin nayeye sio mkaz wa eneo husika alipaswa kuwa na fedha ya kujikimu pindi atapokwenda kituo Cha Kaz ila Kuna taasisi sure kampun hutoa kuanzia siku 15 Hadi miez 3 kwa kujiandaa kupata makaz hvyo n jukumu lao kukugharamia ndan ya muda huo)

2. Unatapeliwaje kwenye ajira?
(Unaambiwa toa hela upate Kaz huyo mtu hujamuona humjui Wala hujui office yake nikwann utoe pesa ili upate Kaz, Mambo mengine ukimbelefront wa vijana wa kitanzania kutafuta shortcut ndio kunawacost Zaid, omba Kaz, nenda kwenye usaili, uliza lini utakuwa updated kuhusu hyo kaz, muda ukipita ndo ujiongeze kiutu uzima Sasa)

Hz Mambo za kudhaniadhania zitawapoteza wengi
 
Nimekuomba unisamehe mbona hunisamehi?

Umenilundikia mavitu kibao nisome ambayo wewe mwenyewe huyaelewi.

Hizo kanuni ni kwa wenye kazi, wasio na angalau kibarua unaongea kitu tofauti sana.

Mtaani kunanuka!!!

Nyapu mpaka za jero zipo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom