job vacancy bot

job vacancy bot

Joined
May 16, 2013
Posts
24
Reaction score
0
Hivii wadau ile job advertisement walotoa bot kuhusu post ya NOTE COUNTER III majibu yametoka?????
Tujuzane wadau
 
nlisikia kwa mtu kuwa yametoka na kunawatu wameitwa kazini.....bt cnauhakika maan nistory katika kupiga ndo ikaingiziwa hiyo ishu
 
Back
Top Bottom