Job seeker, I have Degree in Public Administration

I'm always hope toward success
Lugha siyo kigezo cha usomi bali ni utamaduni wa kawaida .
"I'm always hope towards success... " Na unashangaa ni kwa nini huna ajira. Tumia tu Kiswahili mkuu. It is OK! Ni lugha yetu ya taifa!
 
Good, keep on practicing brother, just ignore criticism which are not important. Practice makes perfect.
 
"I'm always hope towards success... " Na unashangaa ni kwa nini huna ajira. Tumia tu Kiswahili mkuu. It is OK! Ni lugha yetu ya taifa!
Mwenyezi Mungu ndo anafungua riziki kwa kila mtu
Inshaa ALLAH ipo siku nitapata tu.
 
Tayari umeshamwingiza Allah. We si umekuja kuomba ushauri hapa? Mbona sasa usingekaa kimya tu ukasubiri mpaka Allah Atakapokufungukia.

Mimi nilichosema Kimsingi ni kwamba kuwa careful na lugha yako hasa haya makosa obvious. Nimefanya kazi katika mashirika ya kimataifa na nimesoma resumes na CV za kila aina. Trust me, kosa dogo tu kama hilo basi resume yako inatupwa kwani inaonyesha jinsi ulivyo. Cover letter hali kadhalika. Epuka kabisa utani na makosa unapoongelea kusaidiwa kazi. Mpe mtu aproof read resume na cover letter yako. Hata hapa anaweza akawepo mwajiri lakini kwa jinsi unavyoandika atachukulia tu kuwa we ama ni mtoto au hujali. First impression matters mkuu iwe physically au on paper.

Actually niko tayari kukusaidia kurekebisha resume yako na cover letters zako na kuzipa professional feel/look bure na bila kinyongo. And yes, Mungu ndiye mwamuzi wa yote lakini pia inabidi tumwandalie mazingira mazuri ya kuweza kutusaidia.
 
ngoja ukawa ichukuwe nchi ajira zitakuwa bwerere Kama Mchanga
 
Hongera nimekupenda bure ,heshima yako
 
Ila some of members hapa JF mnachuki na uislam nimejaribu kuona ila lets not discuss about it.
Naomba unitumie email yako ili nikutumie CV yangu ili unirekebishe
Asante.
 
Focus na kilichokuleta hapa. Haya mengine hayatakusaidia kitu!
 
Back
Top Bottom