There is a thread which directs to popular Job advertising sites... Why don't u try to search...
I'm always hope toward success
Lugha siyo kigezo cha usomi bali ni utamaduni wa kawaida .
Nimemaliza zanzibar university ndugu.
Nimemaliza mwaka huu
Nipo Arusha ndo nyumbani .
Nipo tayari kama utanipa ufafanuzi vizuri kwny issue hiyo volunteerism.
Asante sana ubarikiwe kwa wema wako.Pitia hapa.VOLUNTEERS JOBS - FRIENDS INDEED TANZANIA
hawa jamaa
huwa wanatoa kazi za Volunteers ,huwa wanalipa Posho mwaka ukiisha wanakuajili. Cheki nao.
Boss hebu iweke vizuri nione upeo wako .
Kama ni wewe ungeandika vp?
I did minor error my friend.
Anyway thanks for correction