Sikushauri uache, ila tafuta tu kimya kimya, ukipata hao waajiri wapya wakikuuliza uko tayari kuanza kazi lini, waambie kesho ama baada ya siku mbili. Hao wahindi hata usiwaage, tena wasubirie mwisho wa mwezi ukishapta kilo mbili yako ndo uingie mbele. Niliwahi kufanya nao kazi, kwakweli ni manyanyaso tu na makelele, na mimi nilikuwa fresh kutoka chuo na nilikuwa nalipwa laki na nusu kwa mwezi, bahati ilikuwa yangu kwani mwisho wa mwezi nilipigiwa simu na kampuni nyengine wakaniambia nikaanze jumatatu, siku wananipigia ilikuwa ijumaa, jumamosi haikuwa siku ya kazi (ilikuwa sikukuu), jumatatu hawakuniona mpaka leo. Hata sasa nikiitwa interview nikiwakuta hawa ponjoro basi hamu ya kufanya nao kazi huniisha pale pale hata kama watanilipa milioni kumi. tafuta taratibu na kwa haraka kijana utapata tu kazi