Job opportunity: Cpa holders only

Huo sasa umwinyi si uweke mambo hadharani!
Au ndo umekuwa dalali umu JF,MOD toza ela uyu ya udalali!
 
nafkiri ni vizuri ukkangalia mtu anaweza "KUFANYA NINI" na sio kuangalia CPA" What if kama ana CPA ya kununua but sio mtendaji? CPA is not a PROOF of person's ability to perform, is a mere certificate in level of schooling. Nyie ni wale mnaofikiri kujua kiingereza ni kuwa na akili....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom