Job opportunities. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Job opportunities.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by petar, Oct 8, 2011.

 1. petar

  petar Member

  #1
  Oct 8, 2011
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. K

  Kimambo Member

  #2
  Oct 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 76
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Barklays kufukuza wafanyakazi

  jamani hali si swari baklays wamepunguza wafanyakazi mia moja na staili ya kuwafukuza ni ajabu sana imetumwa email dakiuka kama kumi tu mkurugenzi wa kutawala mwambeleko na timu yake wakaanza kugawa barua za kuondoka na baada ya barua watu wanatolewa na polisi nje hali siu swari tusaidieni jamani tumepoteza haki zetu na hatujalipwa hela ya maana na hakukuwa na maandalizi kabisa
  eti wanasema tuliopunguzwa tunapelekwa veta kusomea biahsara na watu waliohusika ni watanzania wenzetu watu wa utrawala hii imetuumiza sasna
   
 3. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Pole kwa kufukuzwa kazi ghafula ingawaje ingefaa sana kama ungefungua topic yako ikajadiliwa badala ya kutumia topic ya mwenzako kutoa malalamiko yako. Hivi pale Barclays wewe ulikuwa ukifanya kazi katika kitengo gani? Samahani kama swali ili litakukwaza.

  Tiba
   
 4. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unajua haya mambo sikiliza kwa jirani. Yakikukuta ndio utajua dunia ikoje. Lakini jipe moyo wa ujasiri, kufukuzwa kazi ndio mwanzo wa mapambano. Karibu mtaani na mie ni mmoja wa watu waliofukuzwa kazi kwa zengwe.
   
 5. K

  KWELIMT Member

  #5
  Oct 8, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  poleni sana ndg zangu! ucjal lipelekeni suala hilo tume ya upatanishi na usuluhishi /Commssiion for mediation and arbitration (CMA),pale karibu na wizara ya kazi,shuka kituo cha akiba.natumaini kama mna haki zetu ambazo mmenyimwa mtapewa tume ikibaini kuna kasoro ktkt kuwaachisha kazi!
  kila lakheri wajameni!
   
 6. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Uwiiiiiii, tumbo langu miee! sa' mkuu unataka upeleke cv kwa ajili ya kazi ya huyo mdau, au?!
   
 7. v

  valid statement JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Kama ni watanzania wenzetu wanahusika kuwachongea zengwe, basi watanzania wenyewe kwa wenyewe hatupendani. watu 100?ni wengi mnooo!
  Pole sana mdau!
   
 8. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Mkuu, pole sana kwa yaliyowakuta! Yaani ushahidi wa mazingira unaonesha wazi kwamba lilikuwa ni tukio la kushitusha sana kwako manake hata thread yako inaonekana ni kama ulikuwa unaandika haraka haraka as if usikutwe ukiandika! Hakuna nukta, wala koma! Wala muda wa kuanzisha thread inayojitegemea hukupata! Poleni sana mkuu; i hope wadau wameliona hili ingawaje sio mbaya ukituliza akili ili ukaleta thread nyingine iliyokaa vizuri na kumuomba mod iwe "sticky".
   
 9. petar

  petar Member

  #9
  Oct 8, 2011
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu nyote mlio andika kwenye hii post lakini si ustarabu au staa kurukia mada ya mtu,inabidi uanzishe yako.
   
 10. Butho Mtenzi

  Butho Mtenzi JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 328
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pole eee
   
 11. D

  Derimto JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tabasamu unaingia benki bora kabisa Barclays Bank Tanzania Eutropia Mwambeleko na Paul Russo wako kazini wakimaliza wanawapitia mafao yao kuyazuia wakiamini kwa akili zao mgando kuwa kila mtu amechukua Barclayloan na kama ukiacha kazi kwa barua ya 24hrs wanaona umewadharau watahakikisha wanakukera kiasi cha kutaka uwajibu vibaya ili usipewe certificate of service wakiamini kila anayetoka pale anenda kuajiriwa Benki nyingine.

  NB: Barclays inaandikwa hivi (BARCLAYS) na siyo barklays au baklays.
   
 12. H

  Hansy Member

  #12
  Oct 10, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaz kwel kwel wajamen ivi jaman nimesikia eti sababu ya kuachishwa kaz ni kwa sabbu kaz zao watafanya waindi uko india ivi kwel au?
   
 13. D

  Derimto JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mbona hiyo inajulikana siku nyingi walikuwa wanawaleta vihindi vimechoka na havina shule na hata hawajui wanafanya kazi gani maana hawana role profile zaidi ya kuwapigia kelele watanzania nilishampa mmoja kubwa aangalie rank na siyo kila mtu yupo chini yake hivyo waangalie tabia zao nikaenda kusemewa kwa retail director wa wakati huo manoj hii benk imeshakwisha kama hauamini uliza wateja watakwambia.
   
 14. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 348
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  duu kweli hii balaa
   
Loading...