LOVI MEMBE
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,122
- 183
hapo ndipo unapochoka kuona ni kwa nini ccm ilimchagua job ndugai. hiki ni kiazi kikubwa anatia aibu. kweli hata hizo kanuni hazijui maskini sembuse kuzisimamia. alipoona amezidiwa akaamua kukonclude kwa kuwasihi watz wajitahidi kuishi kwa amani hali alitakiwa kuhitimisha mada ya kanuni za uendeshaji wa bunge. YAANI OFF-TRAK KABISA. AMEONESHA JINSI MBUMBU HUYU ANAVYOVURUGA BUNGE LETU TUKUFU. CCM NI COMEDIAN MZURI. KWA UJUMLA LISSU AMEFANIKIWA KUFAFANUA UDHAIFU WA USIMAMIZI WA KANUNI ZA BUNGE UNAOFANYWA NA MAKINDA NA NDUGAI. MR NDUGAI JUST FORGET KUWA ULIWAHI KUWA MWENYEKITI WA BUNGE KTK BUNGE LILILOPITA HUNA MAANA KABISA