Job Ndugai: Kila Mbunge kufungiwa computer

Job Ndugai: Kila Mbunge kufungiwa computer

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,198
Reaction score
162,739
Huku nikiwa siamini masikio yangu,aliekuwa Naibu Spika wa Bunge,Job Ndugai amesema kupitia TBC1 kuwa wanakamilisha kufunga computer kwa kila mbunge na kwamba Bunge litaanza November 6.

Ukweli ni kwamba sijaelewa hizi computer zinafungwa wapi.

Aliesikia vizuri atusaidie maana huenda sikumuelewa alichosema.
 
Computer sio Lazima iwe desktop, hata technology tuu ya kurahisisha mawasiliano kati ya mtu na mtu au idara na idara ni computer.
Hivyo badala ya kugonga meza ili usikike kutakutakuwa na kitufe cha kubonyeza, badala ya kutembeza vimemo kutakuwa na mailing system kama outlook kwa ajili ya mawasiliano ya ndani, badala ya kupigwa kura kwa kunyoosha vidole then waanze kuhesabu kutakuwa na kitufe cha kubonyeza na kura yako inahesabika moja kwa moja,
 
Computer za wabunge zinasaidia vip kutatua changamoto zinazowapata wanachi kwa sasa??..
Hospitalini hamna madawa, walimu wanadai malimbikizo yao
Alichokizungumza hakina mashiko kwa wanachi kwa kipindi hiki
 
Huku nikiwa siamini masikio yangu,aliekuwa Naibu Spika wa Bunge,Job Ndugai amesema kupitia TBC1 kuwa wanakamilisha kufunga computer kwa kila mbunge na kwamba Bunge litaanza November 6.

Ukweli ni kwamba sijaelewa hizi computer zinafungwa wapi.

Aliesikia vizuri atusaidie maana huenda sikumuelewa alichosema.

Hatuna spika wala Naibu spika
 
Je amezungumza akiwa kama nani? Au kampeni za uspika zimeanza?
 
Hizi hongo za wachina zitaifilisi hii nchi,computer za nn?wawapelekee mashuleni huko
 
Huku nikiwa siamini masikio yangu,aliekuwa Naibu Spika wa Bunge,Job Ndugai amesema kupitia TBC1 kuwa wanakamilisha kufunga computer kwa kila mbunge na kwamba Bunge litaanza November 6.

Ukweli ni kwamba sijaelewa hizi computer zinafungwa wapi.

Aliesikia vizuri atusaidie maana huenda sikumuelewa alichosema.
Kwanza yeye anasema kama nani?? BUnge lishavunjwa na bunge jipya halijaapishwa wala halijachagua spika wala naibu wake.
Kwanza hizo computer ukimnunulia mtu kama Lusinde Kibajaji, Airo au Maji marefu ni wastage of resource tu!!
 
Anasema hivyo yeye kama nani? Na comps wanaenda fanyia nini? Hizi gharama ndo lowassa alisema angezipiga gwala, sioni point, watu wataenda na flash disks na nyimbo za diamond au muvi tunawaona wako bize kumbe wanaangalia wema wepetu!
Kama ni kweli, ni upvmbavu uliotukuka!
 
Masheitwani. Sijui ht niwaite jina gani haya mambwa. WIZI MPAKA KWENYE MENO UNAONA VIASHIRIA. HALAFU HILO LIJITU LIMEZOEA KUCHUNGA MBUZI NA KONDOO NDIO MAANA LIKAMCHARAZA MWENZAKE KWENYE MKUTANO NA ILE ENGUDI. USNIULIZE ENGUDI NI NINI. LINAFIKIRI HUKO BUNGENI KUNA MBUZI NDIO MAANA LINAROPOKA KM BADO LIKO PORINI NA MBUZI WAKE
 
Kuna wale ambao hata kusoma hawajui sijui hili swala la kompyuta itakuwaje
 
mtu kama jah people, maji marefu , lusinde hakuna haja ya kuwafungia ni kupoteza tu fedha. watu hata neno bundle hawajui . NAMSHAURI NDUGAI WAWEKE NA FIMBO NYINGI
 
Ukawa mna stress mpaka kwenye maendeleo? Leo mnalaani wabunge kutumia computer?
 
computer wanapewa wasiokuwa na hitaji na sekta ambazo wanahitaji hawapewi
 
Back
Top Bottom