Job hunting tactictics

Kibenje KK

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2016
Posts
284
Reaction score
442
JOB HUNTING TACTICTICS

Kijana wa kiume unaetafuta kazi bila mafanikio usiache kupitia hii post.

Wanaume muda mwingine muache kuandika CVs ovyo ovyo Sometimes Save some money. Shiriki kwenye hizi Marathon za umbali mrefu alafu kimbia kama 1Km then walk the rest of the race, hapo ndio hawa mashangazi Matajiri and top CEOs wanapatikanaga kwa urahisi.

Wewe kazi yako itakuwa unawavuta hawa mashangazi mikono. Ukiwaambia “we can do this, lets not give up” Mkifika kama 30 KM utajikuta uko na mashangazi kama wa nne alafu hakikisha kwenye hao mashangazi wa nne wewe ndio mwanaume pekee yako.

Ongelea gym maarufu ambayo unajua middle class huwa wanapenda kutembeleaga, ongelea Seminar za Uongo uongo ambazo Umeenda mwaka huu au mwaka uliopita.

Pia usisahau kuwaambia muda wako waziada huwa unatumia kujifunza kifaransa. Hivyo vitu huwa vinawadatisha sana, kisha changamka kuakikisha kuwa wako hydrated kazi yako tu ni “My dear you look so deHydrated lets take some water " Mpaka mmalize 40Km they will be talking about their jobs. And their Kids and some about their husbands though extremely rarely.

Hapa unapaswa kuwa makini sana, kama ni Single Parents waponde wanaume wa sikuizi namna wamekuwa watu wasio wajibika na useme wewe pia una mtu lakini ni kusumbuana tu.

At this point if everything is going right. Utakuwa umeshikiliwa mikono yote na hawa mashangazi Moja wa UNDP, mwingine anafanya world Bank.

Nafikiri sipaswi kukumbusha kujipulizia a very expensive perfume, uza kila kitu bora ulale njaa but invest in your look.

Wakiuliza what you do unawaambia your profession. Then unasema namna Covid iliharibu kila kitu.

Pia katikati ya maongezi hapo usisahau kuwaambia ulisoma Australia miaka mitatu kutokana na kukosa ada ukashindwa kumaliza course yako.

Kwenye finishing line mtakumbatiana then watasema nyinyi wote watano mfungue a WhatsApp Group kwa namna ambavyo umewachekesha na zaidi ya yote kwa namna wamependa company yako, then two of then will WhatsApp you privately uwatumie your CV.

~makiadi

C&p
 
😂😂😂
Iko sawa kabisa, ni kujilipua tuu
 
Marathon ijayo vijana wawe bega kwa bega na mashangazi, bahati ya mtu mmoja haiwezi kuwa sawa kwa wote
 
what if you invest to further your education level to PhD hao WB,UN hawaajiri level za chini.
 
Me kuna sugar mamy la shirika la UN lilinichana limechoka upweke
 
what if you invest to further your education level to PhD hao WB,UN hawaajiri level za chini.
😳Eeh yaani usome hadi phd uje usubir ajira za WB na UN unataka kuuwa watu kaka..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…