Nipo napambana na utafutaji wa kazi si unajua tena maisha kila siku ni mchakamchaka. Nimekutana na kazi kwenye gazeti na naona inanifaa sana. Mode of application ya kazi imekaa kama ifuatavo
To apply please send
- Your current CV
- At least 3 references with current email and telephone contact
- Your salary history
- Cover letter describing your interest in this post
Maswali yangu ni namba 2 pale anaposema kuwa atleast 3 references with current email and telephone contact anamaanisha wale marefari wanaokuwa kwenye CV yangu ama anamaanisha marefari wangu watume references sehemu hiyo nayoaply kazi?
Na hiyo namba 3 inayohusu salary history inamaanisha niandike salary history yangu kwenye application letter ama niatach salary slip zangu kama mbili tatu vile. Please mwenye uelewa anisaidie maana natamani sana kuiaply hiyo kazi na sitaki kukosea kwenye hiyo applicatio yangu
labda alikuwa anudhuria chuo!Umemaliza chuo kweli wewe? Mbona yanaeleweka tu??
Umemaliza chuo kweli wewe? Mbona yanaeleweka tu??
daaah kweli hamna kitu..vitu vidogo vya kutatiza...au ndo kayumba tena?Hahahaha nimemaliza walahi tena sina pass nina upper second lakini si unajua tena masaibu ya mjini kaka, anyway thanks for your challenge and help
ukiweza weka na assistant referees wawili
Duh! changamoto nyingine unazokutana nazo kwenye mazingira halisi haziakisi ulichosoma na kujifunza moja kwa moja chuo au shuleUmemaliza chuo kweli wewe? Mbona yanaeleweka tu??
•marefarii watatu na contacts zao za email na namba za simu
•Eleza tangia uanze kazi ulikua unalipwa kiasi gani? Kuwaprovia ndio unaattach na slips inategemea umepita kampuni ngapi,let's say unaweza sema nilianza kazi kampuni x nilikuwa nalipwa laki2 then baada ya six month wakanipa salary ya laki5 then nikaamia kampuni y nikawa nalipwa laki9 baada ya miezi 8 nikapindishwa mshaara hadi 1.2m hiyo ndio salary history kuwaprovia attach na slips.
well said,hata mimi nilitaka kumshauri hivyo hivyo.marefarii watatu na contacts zao za email na namba za simu
Eleza tangia uanze kazi ulikua unalipwa kiasi gani? Kuwaprovia ndio unaattach na slips inategemea umepita kampuni ngapi,let's say unaweza sema nilianza kazi kampuni x nilikuwa nalipwa laki2 then baada ya six month wakanipa salary ya laki5 then nikaamia kampuni y nikawa nalipwa laki9 baada ya miezi 8 nikapindishwa mshaara hadi 1.2m hiyo ndio salary history kuwaprovia attach na slips.
Duh! changamoto nyingine unazokutana nazo kwenye mazingira halisi haziakisi ulichosoma na kujifunza moja kwa moja chuo au shule
Kulikuwa hakuna haja ya kuandika kile kwenye #2. Asante kwa ufafanuzi mzuri, binafsi nilidhani napaswa kuattach salary slip, kumbe naweza kuziwasilisha pale watakapohitaji