Job application hii imenichanganya sana naomba msaada

bornagain

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
3,383
1,354
Nipo napambana na utafutaji wa kazi si unajua tena maisha kila siku ni mchakamchaka. Nimekutana na kazi kwenye gazeti na naona inanifaa sana. Mode of application ya kazi imekaa kama ifuatavo
To apply please send

  1. Your current CV
  2. At least 3 references with current email and telephone contact
  3. Your salary history
  4. Cover letter describing your interest in this post

Maswali yangu ni namba 2 pale anaposema kuwa atleast 3 references with current email and telephone contact anamaanisha wale marefari wanaokuwa kwenye CV yangu ama anamaanisha marefari wangu watume references sehemu hiyo nayoaply kazi?
Na hiyo namba 3 inayohusu salary history inamaanisha niandike salary history yangu kwenye application letter ama niatach salary slip zangu kama mbili tatu vile. Please mwenye uelewa anisaidie maana natamani sana kuiaply hiyo kazi na sitaki kukosea kwenye hiyo applicatio yangu
 
Referee watatu pamoja na email na namba zao.

Hakuna haja ya kuatach slip, andika tu ulikuwa unalupwa kiasi gani kwenye kazi iliyopita ila sijui urudi nyuma kiasi gani kwenye hiyo historia.
 
Nipo napambana na utafutaji wa kazi si unajua tena maisha kila siku ni mchakamchaka. Nimekutana na kazi kwenye gazeti na naona inanifaa sana. Mode of application ya kazi imekaa kama ifuatavo
To apply please send

  1. Your current CV
  2. At least 3 references with current email and telephone contact
  3. Your salary history
  4. Cover letter describing your interest in this post

Maswali yangu ni namba 2 pale anaposema kuwa atleast 3 references with current email and telephone contact anamaanisha wale marefari wanaokuwa kwenye CV yangu ama anamaanisha marefari wangu watume references sehemu hiyo nayoaply kazi?
Na hiyo namba 3 inayohusu salary history inamaanisha niandike salary history yangu kwenye application letter ama niatach salary slip zangu kama mbili tatu vile. Please mwenye uelewa anisaidie maana natamani sana kuiaply hiyo kazi na sitaki kukosea kwenye hiyo applicatio yangu

•marefarii watatu na contacts zao za email na namba za simu
•Eleza tangia uanze kazi ulikua unalipwa kiasi gani? Kuwaprovia ndio unaattach na slips inategemea umepita kampuni ngapi,let's say unaweza sema nilianza kazi kampuni x nilikuwa nalipwa laki2 then baada ya six month wakanipa salary ya laki5 then nikaamia kampuni y nikawa nalipwa laki9 baada ya miezi 8 nikapindishwa mshaara hadi 1.2m hiyo ndio salary history kuwaprovia attach na slips.
 
Hahahaha nimemaliza walahi tena sina pass nina upper second lakini si unajua tena masaibu ya mjini kaka, anyway thanks for your challenge and help
daaah kweli hamna kitu..vitu vidogo vya kutatiza...au ndo kayumba tena?
 
Inaoneka hata hiyo kazi hutaiweza, inawezekana kila siku utakuwa unauuliza kwa ur senior ni nn ufanye na unafanyaje!! Kweli kazi ipo.
 
Acheni ubwege msela kauliza kama huna jibu kaa kimya.mnajifanya wajuaji wakat hata hizo kazi na nyinyi pia hamna.ujuaji mwingi kudadeki wakat kila siku mnagongea hata hela ya daladala.mibichwa mikubwa kuwaza hamuwaz.
 
Waliokushauri wamekushauri vizuri sana ila HAMNA HAJA YA KUATACH COPY ZA SALARY SLIP ZAKO, weka maelezo kama ulivyoambiwa. Slip utapeleka kama ushahidi siku ukiitwa kwenye usaili
 
Umemaliza chuo kweli wewe? Mbona yanaeleweka tu??
Duh! changamoto nyingine unazokutana nazo kwenye mazingira halisi haziakisi ulichosoma na kujifunza moja kwa moja chuo au shule

•marefarii watatu na contacts zao za email na namba za simu
•Eleza tangia uanze kazi ulikua unalipwa kiasi gani? Kuwaprovia ndio unaattach na slips inategemea umepita kampuni ngapi,let's say unaweza sema nilianza kazi kampuni x nilikuwa nalipwa laki2 then baada ya six month wakanipa salary ya laki5 then nikaamia kampuni y nikawa nalipwa laki9 baada ya miezi 8 nikapindishwa mshaara hadi 1.2m hiyo ndio salary history kuwaprovia attach na slips.

Kulikuwa hakuna haja ya kuandika kile kwenye #2. Asante kwa ufafanuzi mzuri, binafsi nilidhani napaswa kuattach salary slip, kumbe naweza kuziwasilisha pale watakapohitaji
 
well said,hata mimi nilitaka kumshauri hivyo hivyo.
 
Duh! changamoto nyingine unazokutana nazo kwenye mazingira halisi haziakisi ulichosoma na kujifunza moja kwa moja chuo au shule

Kulikuwa hakuna haja ya kuandika kile kwenye #2. Asante kwa ufafanuzi mzuri, binafsi nilidhani napaswa kuattach salary slip, kumbe naweza kuziwasilisha pale watakapohitaji

Uko sahihi mkuu naelekea kuzuri tayari nimeshagonga interview na wanadai niwapelekee current salary slip
 
product za UDOM utazijui tu,nafikiri sasa mtaanza kuelewa kwa nini tunakiita chuo cha kata
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom