Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,473 Reaction score 757 Dec 23, 2011 #1
N Ngarenaro JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 308 Reaction score 45 Dec 23, 2011 #2 Hiyo ni mara ya 2 baada ya kuonana Ikulu
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,326 Reaction score 35,853 Dec 23, 2011 #3 JK: Mwenzako nilikuwa mapumziko, hizi mvua zimekatisha mapumziko yangu, JM: Kwa vile 2015 hugombei ungeendelea tu kula bata, ukawaacha hawa na kiherehere chao cha kukaa mabondeni
JK: Mwenzako nilikuwa mapumziko, hizi mvua zimekatisha mapumziko yangu, JM: Kwa vile 2015 hugombei ungeendelea tu kula bata, ukawaacha hawa na kiherehere chao cha kukaa mabondeni
F fukunyungu JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 717 Reaction score 195 Dec 23, 2011 #4 sina maneno
M mwana wa africa JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 548 Reaction score 128 Dec 23, 2011 #5 hakika, tuna kazi kubwa ya kuwasaidia wahanga hawa wa mafuriko!
DAWA YA SIKIO JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 978 Reaction score 184 Dec 24, 2011 #6 El Toro said: Click to expand... JM : Oyaaa ! Ulifikiri utanikwepa hadi lini ? Nambie sasa kwa nini ulituzingua ishu ya katiba ? JMK : Amua sasa ?! Unaleta mikwala mbuzi kwangu. Na nitaendelea kuwazingua tu.
El Toro said: Click to expand... JM : Oyaaa ! Ulifikiri utanikwepa hadi lini ? Nambie sasa kwa nini ulituzingua ishu ya katiba ? JMK : Amua sasa ?! Unaleta mikwala mbuzi kwangu. Na nitaendelea kuwazingua tu.
R CHUGGA Senior Member Joined Nov 28, 2011 Posts 124 Reaction score 13 Dec 24, 2011 #7 Jk:yani ww kijana unapenda sifa kila sehemu nakukuta,nimejaribu kukukwepa lakini wapi!!duuh JM:Usiogpe mkuu hiyo ndo siasa!!
Jk:yani ww kijana unapenda sifa kila sehemu nakukuta,nimejaribu kukukwepa lakini wapi!!duuh JM:Usiogpe mkuu hiyo ndo siasa!!