the swaggaz boy Member Joined Dec 21, 2013 Posts 97 Reaction score 59 Dec 24, 2013 #1 waheshimiwa kuna thread niliiona juzi kati inasema 'info kuhusu jkt' kuwa zitatangazwa kati ya tareh 23/24 mwezi huu. Vipi hazijatangazwa tu?
waheshimiwa kuna thread niliiona juzi kati inasema 'info kuhusu jkt' kuwa zitatangazwa kati ya tareh 23/24 mwezi huu. Vipi hazijatangazwa tu?
D dbrane Member Joined Jul 23, 2012 Posts 31 Reaction score 5 Dec 24, 2013 #2 Cheki na ofisi ya Mshauri wa mgambo katika wilaya yako ndugu
Balozi wa Dodoma JF-Expert Member Joined Dec 22, 2013 Posts 477 Reaction score 179 Dec 25, 2013 #3 Tayari Tembelea Jeshi la Kujenga Taifa kisha bonyeza desktop version km unatumia simu utaona habari ya kwanza kabisa
Tayari Tembelea Jeshi la Kujenga Taifa kisha bonyeza desktop version km unatumia simu utaona habari ya kwanza kabisa
the swaggaz boy Member Joined Dec 21, 2013 Posts 97 Reaction score 59 Dec 25, 2013 Thread starter #4 Balozi wa Dodoma said: Tayari Tembelea Jeshi la Kujenga Taifa kisha bonyeza desktop version km unatumia simu utaona habari ya kwanza kabisa Click to expand... Asente mkuu, nimetembelea website yao na nimeona. Ngoja nifanye haraka kufuatilia!
Balozi wa Dodoma said: Tayari Tembelea Jeshi la Kujenga Taifa kisha bonyeza desktop version km unatumia simu utaona habari ya kwanza kabisa Click to expand... Asente mkuu, nimetembelea website yao na nimeona. Ngoja nifanye haraka kufuatilia!