Jkt wa kujitolea wameita

Jkt wa kujitolea wameita

Arno bano

Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
16
Reaction score
1
Leo katk pita pita zang nilikutana na mjeda flani began alikuwa kma na vinyota viwili nkajaribu kumuulizia kuhusu post za jkt alichosema ni kwamba jkt wako katka hatua za mwisho za maandaliz ya kuandaa makambi pamoja na vitu muhimu kwa ajili ya kurecruit krut wapya na pia eti walikuwa wanasubiri wale waliokuwa na mikataba na waloitimu mafunzo wachukuliwe na vitengo vingine so akanambia weng washaa chukuliwa ikiwemo waliochukuliwa na police waliochukuliwa uhamiaji waliochukuliwa maliasili pamoja na fid force hvyo kuondoka kwa vijana hao ndo kumetoa nafasi kwetu sisi ku be recruited so akasema mwezi ujao ndo wanaita kuanzia tarehe 10 mpaka 20 so wadau tusife moyo yawezekana mungu ameskia kilio chetu cha msingi let us be patient, ila kwa yeyote mwenye infomation zaid tunaomb atujuze wapendwa tutashukru kwa moyo wako wa kusaidia wengine
 
sawa vijana kama nyie ndio mnatakiwa kwani unapenda na unajali maslahi ya wenzako Endelea na moyo huo huo. OVER.

Leo katk pita pita zang nilikutana na mjeda flani began alikuwa kma na vinyota viwili nkajaribu kumuulizia kuhusu post za jkt alichosema ni kwamba jkt wako katka hatua za mwisho za maandaliz ya kuandaa makambi pamoja na vitu muhimu kwa ajili ya kurecruit krut wapya na pia eti walikuwa wanasubiri wale waliokuwa na mikataba na waloitimu mafunzo wachukuliwe na vitengo vingine so akanambia weng washaa chukuliwa ikiwemo waliochukuliwa na police waliochukuliwa uhamiaji waliochukuliwa maliasili pamoja na fid force hvyo kuondoka kwa vijana hao ndo kumetoa nafasi kwetu sisi ku be recruited so akasema mwezi ujao ndo wanaita kuanzia tarehe 10 mpaka 20 so wadau tusife moyo yawezekana mungu ameskia kilio chetu cha msingi let us be patient, ila kwa yeyote mwenye infomation zaid tunaomb atujuze wapendwa tutashukru kwa moyo wako wa kusaidia wengine
 
Shukrani sana kwa taarifa, kikubwa ni maandalizi tu
 
safi sana mdau kwa taarifa for more infor tutazid kujulishana usijali
 
kwani vigezo vya kujiunga na jkt ni vipi?nami nijiunge
 
google "jeshi la kujenga taifa jkt" utapata website yao n utapa mor infor pamoja na vgezo vya kujiunga
 
Nashkuru wakuu kwa mchango wenu tafazal tupeane taarifa afu vp pia polisi mbona website yao haipatkani kuna nin?
 
haya ya polis matatzo ya kiufund wacha nimchek IT Offcer makao makuu kwanza
 
Back
Top Bottom