Dickson Ndama
Member
- Dec 28, 2012
- 7
- 0
ninajiuliza kuhusu vijana 20000 watakaokwenda jkt wiki chache zijazo wakati mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura ukiwa haujawafikia hata 10% ya wapiga kura.
je ni kweli kura za vijana 20000 hazina umuhimu katika uchaguzi huu au vijana wote wa f6 hawajafika umri wa miaka 18?..au je kutakua na utaratibu gan wa serikali kuwezesha vijana hawa kupata haki yao ya msingi ya kujiandikisha ili waweze kupiga kura?